Nisaidieni Acrobat reader ya Nokia phone.

Nisaidieni Acrobat reader ya Nokia phone.

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Muda mwingi nakuwa mbali na Computer,natumia nokia 6630 napopata data za PDF nashindwa kuzisoma....Nisaidien jaman kama ipo nidownload.
 
http://gwenzky.wen.ru/stuffs/new/mobireader.series60.2.sis
Hiyo link ni kwa ajili ya simu yako.
.
http://www.google.com/gwt/n?u=http:...soft/DownloadReaderDesktop.asp&hl=en&source=m Halafu download mobireader kwa ajili ya pc yako,
.
baada ya kufungua pdf file kwenye mobireader pc ita convert pdf kuwa prc kwa ajili ya simu yako na utapata option ya ku send kwenye simu yako. Vile mobireade unaweza uka unganisha na wordnet dioctionary.na tumia mobireader with dictionary kwenye simu yangu ni nzuri sana halafu ni bure.
 
Last edited:
Back
Top Bottom