Ni kuhusu masomo yangu!
Nimejawa na hofu inayonifanya niishi bila raha yaani natetemeka kila wakati,moyo unauma na wakati mwingine nashindwa kupumua vizuri!
Hofu yenyewe inanifanya ninachokisoma sikielewi yani nashika daftari tu huku naliangalia,mawazo mengi ya kufeli huko mbeleni yanakuja kila siku!
Naamua niondokane na hali hii lakini nimeshindwa kujibadilisha!
Ninapowaona wengine wanasoma lakini mimi ndo mawazo yakufeli yanavyothibitika
Nahitaji ushauri! Wenu
Kama kunamtu anayemjua mtaalamu wa saikolojia anisaidie nimpate maana akili yangu imekua kama "vile imefungwa na haitaki kutoka katika kifungo hicho"
Msaada na ushauri wenu unahitajika!