Nisaidieni, Akili yangu ipo kama imefungwa

Nisaidieni, Akili yangu ipo kama imefungwa

Mdowangu usipanic, mi najua watu wanaokupa stress ni hao waliokava topics! Sasa wewe usitake kusoma kwa kushindana nao, wewe nenda taratibu, unaweza ukawatumia wakupush kidogo!! Pia kipindi cha likizo jitahid kusoma tuition usitegemee walimu kila kitu. Siri ya pcm ni kukava mapema na mazoezi ya kila siku.
Halafi acha nikupe siri nyingine, kama hukupata msingi mzuri kwenye baadhi ya maeneo kwenye pcm o'level, jitahid upate mtu akuelekeze vizuri usione aibu, manake adv.level hasa sayansi masomo yake yanahitaji msingi mzuri wa o'levl.

Pcm bila stress inawezekana.

Ni pm for financial assistance if you don mind.

Pia wewe ni smart sana kiasi kwamba huna shida ya kuferi chochote kwa sasa,
kwani una cheti tayari cha form IV with good pass mark
soma taratibu kwa anasa zako.
Akili ikichoka acha.
Akili ikitulia soma .
Ukiona hauko tayari kufanya mtihani omba kuahilisha hadi mwakani.

Maisha siyo njia moja Dogo.
Wengine tuna malizia PHD kwa sasa ,lakini hatujui form SIX ikoje.

Tumerudia na kujisome majumbani pia polini tukiwinda magogo ya mkaa
iweje leo wewe ushindwe kiTabu?

KEEP IT COOL ,THINGS WILL WORKOUT
 
Jarib kuelewa kile unachofundishw au pindi unajisomea..(take summary itakurahisishia wkt wa final revision)..Usikremu!!..fanya maswali mengi from past papers and different books...Lastly jiamini kwamba umeelewa na huna sababu ya kusahau/kufeli
 
Hiyo panic Ya kuona wenzako wamekta mitopic cha msing sali sana kwa iman yako, pia fanya mazoez kila cku jion, kwa muda uliobak solve sana maswal kwny vitab kama chand 5 na 6, pure 1na2, tranter, roger na pia soma concptuals
 
Ni kuhusu masomo yangu!
Nimejawa na hofu inayonifanya niishi bila raha yaani natetemeka kila wakati,moyo unauma na wakati mwingine nashindwa kupumua vizuri!
Hofu yenyewe inanifanya ninachokisoma sikielewi yani nashika daftari tu huku naliangalia,mawazo mengi ya kufeli huko mbeleni yanakuja kila siku!
Naamua niondokane na hali hii lakini nimeshindwa kujibadilisha!
Ninapowaona wengine wanasoma lakini mimi ndo mawazo yakufeli yanavyothibitika
Nahitaji ushauri! Wenu
Kama kunamtu anayemjua mtaalamu wa saikolojia anisaidie nimpate maana akili yangu imekua kama "vile imefungwa na haitaki kutoka katika kifungo hicho"
Msaada na ushauri wenu unahitajika!

Huyo ni pepo wa kufelisha tena shukuru MUNGU umemtambua mapema tafuta mchungaji wa kweli sio hawa matapeli akuombee utafunguka na mawazo ya ushindi yataingia
 
Wewe tulia piga vitu kwa mpangilio kuwahi kucover sio ndio tyr ushatoka jibu ataleta necta. kuwa karb na watu ambao wanaweza kukupa vtu na kudiscuss nao utatoka tu soma kwa bidii na amini kwamba huna haja ya kuogopa sasa, kutoka inawzeakana yaan inawezekana sana tu
Ni kuhusu masomo yangu!
Nimejawa na hofu inayonifanya niishi bila raha yaani natetemeka kila wakati,moyo unauma na wakati mwingine nashindwa kupumua vizuri!
Hofu yenyewe inanifanya ninachokisoma sikielewi yani nashika daftari tu huku naliangalia,mawazo mengi ya kufeli huko mbeleni yanakuja kila siku!
Naamua niondokane na hali hii lakini nimeshindwa kujibadilisha!
Ninapowaona wengine wanasoma lakini mimi ndo mawazo yakufeli yanavyothibitika
Nahitaji ushauri! Wenu
Kama kunamtu anayemjua mtaalamu wa saikolojia anisaidie nimpate maana akili yangu imekua kama "vile imefungwa na haitaki kutoka katika kifungo hicho"
Msaada na ushauri wenu unahitajika!
 
Your success is in your own hands bwana mdogo. Sioni kwanini ubaki ktk mawazo ya "kufeli".


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Unahitaji kujiamini tu. Toka ulipoanza shule hadi umefika hapo, kuna wangapi wamefeli? Wewe mbona umefaulu? Unajua tayari umeshafika mbali sana?

pili, kwa imani yako nenda kwenye maombi. Muambie kiongozi wa dini akuombee ama akuswalie. Itakupa ujasiri zaidi. Mimi naamini utafaulu kwa sababu pcm sio ngumu. Hgl na hkl ndio naziogopa kwa sababu kuna blah blah nyingi.
 
duh jf imeharibika ina bidi recruitment mpya ifanyike

Hii jf siku hizi imevamiwa na watoto wa fb ndio maana haieleweki siku hizi.

Kwa huyu kijana kuleta tatizo lake hapa ni uthibitisho tosha wa umuhimu mkubwa wa jf....ni wachache wenye fikra finyu wanaoweza kubeza badala ya kutoa msaada kwa maana wanaomzunguka ambao wangekuwa msaada wako bize na mambo yao...ni vizur tukakumbuka maudhui ya jf yanaanzia kwenye jina lenyewe "jamii forums" ikimaanisha ni mahali pa suluhu mbadala ya masuala ya kijamii....

Kijana uliyeleta tatizo lako fanya yafuatayo.....
1. Amini yanayokusibu Yupo Mungu aliye jibu la masumbuko yako: Tenga Muda wako usome neno la Mungu au sikiliza mawaidha kama ni muislam
2. Pia huwezi kufanya zaidi ya kile unachoweza kufanya : Maana yake plan activities za kesho siku 1 kabla :muda gani utaamka (before sa 12 asbh, weka jambo la kufanya kwa kila lisaa linalofuata; hakikisha unafuata ratiba yako ulivyopanga. Mambo yafuatayo yasikosekane, prayers, mazoezi, kusoma (b specific topic utayosoma), muda wa kurefresh ( utumie kubadilishana mawazo na mtu aliyefanikiwa)

Yakikusaidia nijulishe.
 
duh jf imeharibika ina bidi recruitment mpya ifanyike

Hii jf siku hizi imevamiwa na watoto wa fb ndio maana haieleweki siku hizi.

wakuu mmeboa sana tu! sijaona kosa lilipo kwa mtoa mada! hivi hamjui hata msongo wa mawazo ni nini?

Mbona mnakuwa kama hamjapitia maisha ya shule aisee?

yani mmekera sana!.. haya kauzeni!
 
Back
Top Bottom