komamgo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 1,757
- 1,483
Mdowangu usipanic, mi najua watu wanaokupa stress ni hao waliokava topics! Sasa wewe usitake kusoma kwa kushindana nao, wewe nenda taratibu, unaweza ukawatumia wakupush kidogo!! Pia kipindi cha likizo jitahid kusoma tuition usitegemee walimu kila kitu. Siri ya pcm ni kukava mapema na mazoezi ya kila siku.
Halafi acha nikupe siri nyingine, kama hukupata msingi mzuri kwenye baadhi ya maeneo kwenye pcm o'level, jitahid upate mtu akuelekeze vizuri usione aibu, manake adv.level hasa sayansi masomo yake yanahitaji msingi mzuri wa o'levl.
Pcm bila stress inawezekana.
Ni pm for financial assistance if you don mind.
Pia wewe ni smart sana kiasi kwamba huna shida ya kuferi chochote kwa sasa,
kwani una cheti tayari cha form IV with good pass mark
soma taratibu kwa anasa zako.
Akili ikichoka acha.
Akili ikitulia soma .
Ukiona hauko tayari kufanya mtihani omba kuahilisha hadi mwakani.
Maisha siyo njia moja Dogo.
Wengine tuna malizia PHD kwa sasa ,lakini hatujui form SIX ikoje.
Tumerudia na kujisome majumbani pia polini tukiwinda magogo ya mkaa
iweje leo wewe ushindwe kiTabu?
KEEP IT COOL ,THINGS WILL WORKOUT