Nisaidieni brand ya syrup nzuri ya kikohozi kikavu

Mr achana na hayo makolokolo. Tumia tangawizi,kitungu saumu na asali subuh na jion. Ponda ponda hvo vitu afu chemsha maji weka kwa kikombe dumbukiza ulichokiponda afu funika for 10-15min kunywa. Asali lamba asubuh kabisa au mix na huo mchanganyiko kupunguza ukali. Fanya hivyo mara 6 yaan 2 times a day for 3 days na kifua chako kitapona.
 
Asipokuelewa basi
 
Back
Top Bottom