KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Husiano hili lipo kwenye hatihati ya kuvunjika, sitaki livunjike kwasababu itakuwa ngumu tena kuanzisha mengine kutokana na historia yangu juu ya mahusiano kuwa tata vitimbwi haviishi!.
Huyu mpenzi wangu wasasa kuna kitu alizingua!, sijui alifikiria nini na hili wazo alilipata wapi! just from no where tukiwa kwenye maongezi akaniambia ati tuunganishe akaunti zetu za bank!.
Mi nilijua anatania maana sikutegemea yeye aniambie kitu kama hicho yani tutumie akaunti moja!.
alipoona sielewi akarudia tena sasa mimi ndo hapohapo nikamjibu hivi "Acha kutumia akili mnemba!".
Hapo ndipo shughuli ilipoanzia!, kumbe kaliweka moyoni kapigia ndugu zangu simu anasema nimemtukana!, ndugu zangu sijawajibu,mimi nawasikiliza tu halafu nawapa majibu tofauti.. lakini kwa hili nilichoamua ni siwezi kumuomba msamaha kwa hilo wazo lake lakinemba!.
Mimi sio zwazwa kiasi hicho nikaunga akaunti nayeye!..
Sasa nipeni njia nitatue hili bila kuvunja hili husiano ila akaunti nayeye siungi!, siwezi kabisa kukubali wazo hilo la kimnembamnemba!.