Sasa bradha,wewe ndo wa kujiita mkubwa kweli??. Mbona ishu yako hii ni ya kawaida tu!!, Wanawake wanapokuwa wajawazito huwa na vitabia fulani hivi vya tofauti.Hivi unaweza kutupa Sababu za Kwanini wewe unaona kusex na mkeo kwa njia ya kitovu chake ni kumdhalilisha mtoto wenu?. Ushauri WANGU.
Hebu nendeni hospitali wewe na mkeo mkajiulize kwa Madaktari hususani wa Wanawake juu ya Jambo hilo; Ikiwa mkeo atagoma basi nenda wewe peke yako ili kujua km kuna madhara au lah!!,Km hakuna madhara basi wewe piga mzigo lah kuna madhara basi mweleweshe mkeo hayo madhara.
Sent from my Infinix X688C using
JamiiForums mobile app