Nisaidieni: Hivi kwa hili, nadili vipi na huyu mke wangu mjamzito?

Ungetuzidi pesa na hekima tungekuheshimu Ila sio umri , umri ni Namba tu
 
Ungetuzidi pesa na hekima tungekuheshimu Ila sio umri , umri ni Namba tu
Huwezi jua, kwa uandishi wako huu nimekuzidi pesa, umri na hekima mara 1000. Unaonekana mganga njaa wa K/Koo wewe.
 
Aisee [emoji2], au basii
 
Ulimkojolea mtoto kupitia kitovuni?
 
Utakuja kuona kawaida yatapokukuta[emoji28][emoji28] omba aishie kitovuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…