Nisaidieni huu ni ugonjwa gani?

Nisaidieni huu ni ugonjwa gani?

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Heshima yenu wakuu,naombeni msaada wenu nina mtoto wa miaka minne anasumbuliwa na tatizo la kunuka pua japokuwa hana mafua .Yaani pua zake zinatoa harufu kali utandani kuna vidonda vilivyooza ndani yake mara naambiwa huo ni ugonjwa wa kipanda uso japo hawaniambii ni nini tiba yake tafadhali naombeni msaada wenu.
 
Unilateral fowl smelling discharge if so then its a foreign body,its very common in children, and if not then chronic sinusitis is the option just give amoxicillin 250mg bid for 2/52 (2wks) and more likely there is an underlying problem,consult a physian or otolaryngologist.
 
Back
Top Bottom