Nisaidieni huyu mwanamke ananisumbua!

No free lunch. chapa lapa au kuwa makini sana. hii dunia siyo mkuu.
 
kama una nauli ya kurud-sepa-achana naye
 
makubwa hayo inakuwaje wanawake tuambieni siri ya urembo au tamaa?
 
Mi najua unamajibu kichwani,language is not a barrier in Business,ok tuseme ukoo wao wote hawajui kingereza,hana marafiki wanaoenda dubai kununua vi2 akaenda nao,na huko dubai hakuna translators mpaka amekubeba wwe! Nys alikuwa anategemea akuwin huko,all in all ua life is on ur hands. That is a RISK UA ABT TO TAKE,MEASURE IT BRO.
 
Follow your heart yaonenakana huna haya Kumi mfukoni!



 
Hivi mtu mzima unahitaji ushauriwe kwenye mambo haya kweli?
 

kwa kifupi amekugeuza wewe malaya wa kiume mkuu............... uza mbunye hiyo upate ujira wako
 
uwe mwangalifu sana ,hii ni kinyume na maadili ya Mungu,kilichokupeleka ni biashara, fanya biashara.ukijiachia tuu,umerudi na ukimwi kwani yaelekea hii ni tabia yake na wewe si wa kwanza. hivyo kuna uwezekano ukarudi na ukimwi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…