Nisaidieni huyu mwanamke ananisumbua!

Nisaidieni huyu mwanamke ananisumbua!

kwamba : 'unaogopa kukataa kwa vile umelipwa advance (1/2 malipo) hadi umalize contract'. Mkuu kumbe jibu unalo mwenyewe!
 
Sasa hili nalo unataka ushauriwe.......................!
 
unataka kuuza utu wako kwa kuogopa kutolipwa ??? kwa nini kabla ya kuondoka hamkuandikia mkataba jinsi ya kulipana au
 
Usiogope kumwambia ukweli wako kuwa pale umefata kazi mliyokubaliana na si vingine. Habari ya yeye kuona mashetani haikuhusu, akaripoti kwa meneja wa hoteli. Jilinde uko kwenye mtego utakaokusababishia kukosa malipo yako au hata kufanya usiyoyapanga na kujuta badaye.
 
hajiamini ndo maana na pia inaonyesha ametamani
 
Huyo mwanamke ana lake tu,kwa vile ushaelewa komaa kaza uzi hakikisha unalala na jins lako,piga kazi akiona hudanganyiki atakua mpole mwenyewe!Duh!huyo mmama noma lol!
 
Huyo mwanamke ana lake tu,kwa vile ushaelewa komaa kaza uzi hakikisha unalala na jins lako,piga kazi akiona hudanganyiki atakua mpole mwenyewe!Duh!huyo mmama noma lol!

mh huyo naona anaomba ushauri japo yaonyesha amefanya maamuz
 
unataka kuuza utu wako kwa kuogopa kutolipwa ??? kwa nini kabla ya kuondoka hamkuandikia mkataba jinsi ya kulipana au

Alishawahi kunituma peke yangu na nikarudi salama na alifurahi. Sikuwa na sababu ya kutomuamini
 
We kula vitu nini kuogopa mwanamke...mbona mnatilsiha aibu vijana wasiku hizi.
 
Kama nia yake ni mbaya the good thing umeshamuelewa so ni kama upo hatua kumi mbele yake kimawazo sitegemei kama utadanganyika by any means!
 
Unataka kutuambia haujawahi kufanya ngono au...?
Nyie ndio mnaosababisha vijana wa siku hizi tudharaulike.
Alieweza ni Nabii Yusuf peke yake.
 
Alishawahi kunituma peke yangu na nikarudi salama na alifurahi. Sikuwa na sababu ya kutomuamini

lakin hadi kufikia hapo mlishatengeneza mazingira ya tamaa
 
Wewe mbona unapenda kudhulumu nafsi za wenzako?,mpe anachokitaka mwenzako!
 
acheni kutunga story everyday,mkitongozwa mnatuadithia! alaf wanaume mnaongoza kutongozwa!
 
Back
Top Bottom