nisaidieni jaman kuhusu hii mimba

nisaidieni jaman kuhusu hii mimba

nisile23

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
440
Reaction score
176
Habar wapendwa
Nilitoa uzi hapa kwamba mimba inanisumbua mkanipa ushauri nikawa natumia tangawiz tatizo la kutapika likaisha kabisa.

Ila leo mume wangu karudi baada ya kuwa nae mbali kwa muda,tumesex muda huu nashtuka nakuta damu inanitoka.jamani ndo kusema kukutana kimwili na mume wangu imesababisha hali hii?
 
zejame, madaktari wetu wengi ni walevi ( watu8, mwallu, MziziMkavu ) huwa hawakai nght shift...

Vumilia, asubuhi utapata jibu.

Meanwhile safisha papuchi na umuombe poo mumeo.

On other thought, how large is he? inawezekana tu kagusamo kule ukutani plus kaikamia mno. That way you will have nothing to fear but extra care next time.
 
Last edited by a moderator:

Asante ndugu hata usingiz sipati,hatujasex muda mrefu kiasi isababishe hali hii.jamani Mungu nisaidie isije haribika,nimeteseka jamani
 
Last edited by a moderator:
pole sana, jaribu kwenda nae taratibu katk hlo huwa nikawaida kwa bint mjamzito kama hajafanya tendo la ndoa mda mrefu kuhs mabadilko yatofaut nikutokana na kuta za uke kua zimeshkana mno nakutengeneza ukamavu....ila kabla ya tendo jaribun kuchezeana sana!
 
Asante ndugu inaweza kuwa mimba imetoka?damu inatoka nyepesi sana.
 
Ndiyo inawezekana imetoka lakini usivunjike moyo labda hali si mbaya kiasi hicho ila inabidi muwahi hospitali haraka sana hii ni emergency ili wakakuangalie kwa kina, poleni sana.

mimba ni ya miezi mingapi na mlitumia position gani wakati wa tendo, mtu asikudanganye kutoka damu si jambo la kawaida hasa ukiwa mjamzito uwe makini sana na kama mkirudia tena damu itatoka ni vizuri umuone daktari.
kikibwa zingatia mikao mnayotumia na akutreat taratibu asiwe rough mimba zina mambo mengi anything can happen mind that
 
Tarehe 6/10 nafikisha miezi 3.
 
Ndiyo inawezekana imetoka lakini usivunjike moyo labda hali si mbaya kiasi hicho ila inabidi muwahi hospitali haraka sana hii ni emergency ili wakakuangalie kwa kina, poleni sana.

Asante ndugu kwa ushauri sijui kwa nn karudi yasinge nitokea haya jamani furaha yote ya ujio wa mume wangu imeniisha kwa kweli.
 
Tarehe 6/10 nafikisha miezi 3.

19 Sept Ulitueleza kuwa mimba yako ni ya mwezi mmoja unusu, na hapa waeleza kuwa tar 6 Oct utatimiza miezi mitatu...
Mbona kama unatuzingua akili zetu we mwanamke? Tokea tar 19 hadi hiyo tar 6 huo muda hata ujumlishe vipi hauwezi tengeneza mwezi mmoja unusu ili kufanya ujauzito wako uwe wa miezi mitatu.

Anyway, mjamzito kutokwa damu si jambo la kawaida na yakupasa ufike hospitali mapema kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Kuna sababu kadhaa ambazo huweza kupelekea mama mjamzito kutokwa na damu nyepesi 'spotting'.

1. Ngono 'Sex'
Wakati wa ujauzito damu nyingi huwa inakimbilia kuelekea shingo ya kizazi 'cervix'. Hivyo hupelekea ukuaji usio wa kawaida wa 'cervix' na hii kuna uwezekano ikasabisha damu ndogo kutoka wakati wa kungonoka.

2. Miscarriage au Ectopic Pregnancy
Kama kutokwa huko kwa damu kuliambatana na hali yoyote ya maumivu ya tumbo 'maumivu kama yale ya MP'...basi kuna uwezekano mimba ikawa imeharibika au mimba imetungwa nje ya mji wa mimba.
Karibia robo ya wanawake wajawazito hutokewa na hii hali na nusu ya wanawake hawa huishia kuwa na 'miscarriage'.

3. Infections
Wakati mwingine kutokwa na damu nyepesi ambayo haihusiani na hali ya ujauzito husababishwa na vaginal infections mathalani 'yeast infection', 'bacterial vaginosis' au hata magonjwa mengine ya zinaa 'STD's'.
Maambukizi haya hupelekea kuvimba au kuwa na hali ya uwasho kwa shingo ya uzazi, na kama mama mjamzito atafanya ngono kuna uwezekano wa kutokwa na damu nyepesi.

Ushauri;
Nenda hospitali wakufanyie vipimo kadha wa kadha ili kutambua ni nini haswa chanzo cha hali hiyo.
 
Aisee pole sana. hilo sio jambo la kuzembea wahi hospitali kwa matibabu zaidi.
 
Asante ndugu kwa ushauri.jamani kama nimekosea cku nisamehe kuchanganyikiwa huku kama nilisema mwezi 1 na nusu nilikosea ilikuwa miwili na nusu kwenda mitatu.sina mama jaman ndo mana kila kitu nakimbilia humu,asante.
 
Loh doctor #watu8 upo makini hadi tarehe wazikumbuka??ni vyema😉😉
 
Tarehe 6/10 nafikisha miezi 3.

bado upo kwenye 1st trimester so mwambie jambaa aduu taratibu si wanawake wote tuko sawa nikipindi kibaya pia hata arbotion yaweza kutokea bado changa sana kwa dalili ulizozitaja ni vizuri kuwa makini na ujipe mapumziko msifanye kama vile hakuna kesho
 
Asante ndugu naelekea hospital sijui itakuwaje
 
WAHI HOSPITAL FASTA.mwenzio yalinikuta...,mpenz wng alikuwa mjamzito month na alikuwa mbali nami,cku moja alikuja na akahitaji 2sex,ckupenda bt alikuwa na ham sana nami,2kasex na baada ya muda kupita dam zilitoka,the after 4days mimba ikatoka.my beutifull baby boy arleady named GODFREY was born dead.ckujua ni mm au nn kimefanya hayo!!.pata ushauri yasikukute.
 
Loh doctor #watu8 upo makini hadi tarehe wazikumbuka??ni vyema😉😉

Kwenye suala la mimba, muda huwa ni jambo la kuzingatia sana...mimba imegawanyika katika vipindi vitatu sawia vyenye tabia tofauti tofauti.

Kama mtu anatatizo let say la bleeding kwenye trimester ya pili au ya tatu, basi namna hata ya handling na visababishi ni tofauti na kama ya huyu wa first trimester.
 
Kwenda hospitali kwa check up ndio option pekee nzuri kwa sasa...
Btw huwa inaitwa miscarriage na sio arbotion...

bado upo kwenye 1st trimester so mwambie jambaa aduu taratibu si wanawake wote tuko sawa nikipindi kibaya pia hata arbotion yaweza kutokea bado changa sana kwa dalili ulizozitaja ni vizuri kuwa makini na ujipe mapumziko msifanye kama vile hakuna kesho
 
Asante ndugu kwa ushauri.jamani kama nimekosea cku nisamehe kuchanganyikiwa huku kama nilisema mwezi 1 na nusu nilikosea ilikuwa miwili na nusu kwenda mitatu.sina mama jaman ndo mana kila kitu nakimbilia humu,asante.

Next time jaribu kuwa makini...
 
WAHI HOSPITAL FASTA.mwenzio yalinikuta...,mpenz wng alikuwa mjamzito month na alikuwa mbali nami,cku moja alikuja na akahitaji 2sex,ckupenda bt alikuwa na ham sana nami,2kasex na baada ya muda kupita dam zilitoka,the after 4days mimba ikatoka.my beutifull baby boy arleady named GODFREY was born dead.ckujua ni mm au nn kimefanya hayo!!.pata ushauri yasikukute.

Pollen jaman na asante kwa ushaur nasubir kuchekiwa kwa Utra sound
 
Back
Top Bottom