nisaidieni jaman kuhusu hii mimba

asante watu8 nilikuwa natafuta ilo neno ss halikunijia kwa wakati ikabidi nipachike hilo
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ila hakuna sababu ya kuanza kusikitika kabla ya kujua nini kinachoendelea katika ujauzito wenu. Cha muhimu kama nilivyokushauri mapema leo ni kuwaona wataalamu bila kuchelewa. Kama hutajali tufahamishe madaktari wanasemaje kuhusu kiumbe mtarajiwa. Kila la heri.

Asante ndugu kwa ushauri sijui kwa nn karudi yasinge nitokea haya jamani furaha yote ya ujio wa mume wangu imeniisha kwa kweli.
 
Asante Mungu,asante jf nimekwenda hospital nimepiga utra sound mimba haijatoka.nimepewa dawa na kuelezwa cha kufanya.Asanten kwa kunitia moyo.Mungu awabariki ila wanasema ukipata tatizo kama hilo unachotakiwa kuwahi hospital.
 
hongera my dia
pole sana kwa hali iyokupata usiku
Asante Mungu,asante jf
nimekwenda hospital nimepiga utra sound mimba haijatoka.nimepewa dawa na
kuelezwa cha kufanya.Asanten kwa kunitia moyo.Mungu awabariki ila
wanasema ukipata tatizo kama hilo unachotakiwa kuwahi hospital.
 
tehe..tehe... uko juu na kazi yako unakumbuka hata tarehe? kiukweli jamii forum ni zaidi ya familia zetu wapo watu wanaweza kujitoa kwa shida za wengine kutoka rohoni mwao gooood!
 
Kwenda hosp ni lazima na muhimu sana. Ukiwa mjamzito hata ukioma tone tu la damu si dalili nzuri. Hata kama itakua haojatoka kuna uwezekano unahitaji ushauri wa ki Dr. how uende nayo hali yako. Pole sn anyway.
 
Asante Mungu,asante jf nimekwenda hospital nimepiga utra sound mimba haijatoka.nimepewa dawa na kuelezwa cha kufanya.Asanten kwa kunitia moyo.Mungu awabariki ila wanasema ukipata tatizo kama hilo unachotakiwa kuwahi hospital.

Zingatia hayo uliyoelezwa huko...
 
Mama kaa bedrest. Kma unataka mtoto pumzika kusex. Nayenyewe ni kaz hyo.
 
Asante ndugu kwa ushauri.jamani kama nimekosea cku nisamehe kuchanganyikiwa huku kama nilisema mwezi 1 na nusu nilikosea ilikuwa miwili na nusu kwenda mitatu.sina mama jaman ndo mana kila kitu nakimbilia humu,asante.

Umenigusa sana, Mwenyezi Mungu akusaidie kunusuru mimba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…