B bigmukolo JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 602 Reaction score 2,238 Aug 8, 2013 #1 Baaada ya kumeza malafin tu hali hiyo ikaanza mpaka leo tokea mwezi wa saba nashindwa kuelewa kabisa ni ugonjwa gani huo. Mwenye tiba mbadala anisaidie tafadhali.
Baaada ya kumeza malafin tu hali hiyo ikaanza mpaka leo tokea mwezi wa saba nashindwa kuelewa kabisa ni ugonjwa gani huo. Mwenye tiba mbadala anisaidie tafadhali.
K Kim Jong Un JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 496 Reaction score 263 Aug 12, 2013 #2 Hakuna tiba mbadala boss you still have malaria pima tena... malafin ni feki mara nyingi kama unapenda hizo dawa za sp kama malafin tumia sp ya italy then rudia baada ya week pole. Nipime hali ikiendelea.
Hakuna tiba mbadala boss you still have malaria pima tena... malafin ni feki mara nyingi kama unapenda hizo dawa za sp kama malafin tumia sp ya italy then rudia baada ya week pole. Nipime hali ikiendelea.