Nisaidieni jaman ndugu zangu kizunguzungu kuzikia zii na macho kuwa mazito

Nisaidieni jaman ndugu zangu kizunguzungu kuzikia zii na macho kuwa mazito

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,238
Baaada ya kumeza malafin tu hali hiyo ikaanza mpaka leo tokea mwezi wa saba nashindwa kuelewa kabisa ni ugonjwa gani huo.

Mwenye tiba mbadala anisaidie tafadhali.
 
Hakuna tiba mbadala boss you still have malaria pima tena... malafin ni feki mara nyingi kama unapenda hizo dawa za sp kama malafin tumia sp ya italy then rudia baada ya week pole.

Nipime hali ikiendelea.
 
Back
Top Bottom