Nisaidieni jamani, am seriously sick!!!

sindani

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
89
Reaction score
71
Am21yrz old, ila meambiwa nna uvimbe kwenye my right ovar, n nkafanya utrasaund kweli nliona hiyo sehem n ilikua tofaut na left one, ilikua mwez wa sita, ckupewa dawa ila doc aliniambia nirud baada ya miez3 kuangalia kama kinakua au huo uvimbe unaisha!! Bado cjarud hosp, nasubr mwez wa kumi mwanzon nirud hosp! Chaajabu xaxa, ni kwamba napata maumivu makali sana kushoto kwangu, yan naumia mpaka wakat mwngne mguu wangu wa kushoto nao unauma kuanzia kiunon had unyayon, naumia sana jamani, n wakati mwingine pakiwa panauma natokwa na majimaji kwenye papuchii, nlipma fangac na uti ckua navyo, naumwa!!! Pliz ushaur unaitajika, utani hautanisaidia jaman
 
Duh!
Kakuambia nani ni cancer? Hata fibroid tu inaweza kusababisha maumivu ya muda iwapo kunatokea mkatizo wa supply ya damu kwenye sehemu husika ya mwili!
mmh ovarian cancer hiyo
unahitaji surgery
 
sindani, rudi kwa dr wako aliekuambia urudi mwezi wa kumi. Ukiona haumuelewi ni vyema ukaenda na vipimo vyako kwa daktari mwingine. Natumaini unaonana na dr bingwa wa wanawake.

All the best
 
Last edited by a moderator:
Duh!
Kakuambia nani ni cancer? Hata fibroid tu inaweza kusababisha maumivu ya muda iwapo kunatokea mkatizo wa supply ya damu kwenye sehemu husika ya mwili!

maelezo yake yanajitosheleza aliambiwa ana tumour (uvimbe) hakupewa dawa akaambiwa arudi after 3month probably huyo dr alitaka kuona kma uvimbe umeongezeka au lah
based on expirience cancer hyo so sad shez only 21
 
maelezo yake yanajitosheleza aliambiwa ana tumour (uvimbe) hakupewa dawa akaambiwa arudi after 3month probably huyo dr alitaka kuona kma uvimbe umeongezeka au lah
based on expirience cancer hyo so sad shez only 21
aisee wewe ni hatari sana ndugu yangu
 
Pole sana Mpendwa.


Uwe na amani hapa utapata pia namna
nzuri ya kutatua hilo tatizo.
 
nyinyi ndio watu mnaowaua watu kabla ya muda wao ,no research no right to speak .jifunze sana

research?? Nifanye research kitu nilichosomea 3 years una hangover wewe kanywe supu
 
Im sorry dada. Mwenyenzi Mungu na akuonekanie.
 
umesoma miaka mitatu bure kabisa ,ushaurii nasaha huna wewe wala ethics za kazi yako huzijui miaka mitatu my ass ptuuuuu
hya tuone kma ushauri nasaha wako utamponya mgonjwa
 
  • Pole sana.
  • Ngoja nimuite mimi49 atusaidie kimawazo katika hili.
 
Last edited by a moderator:
We utakuwa na cancer wewe, umekaa nayo miaka mi 3 hujaisomea wala nn,
ushajikatia tamaa,
Kafie mbele.
 
Mungu akurehemu dada yangtu..hakika mungu atakupigania na utapona.
 
Una tatizo linaloitwa POLYCYSTIC OVARY SYNDROME ambalo hutokea pale mwanamke anapokuwa na muongezeko wa homoni za kiume(testesterones) kuliko kawaida.Hali hii husababisha mayai kutokupevuka ipasavyo hatimae kuwa na uvimbe ulojawa na fluids(cysts).Hormone Insulin ina umuhimu sana kwenye ugonjwa huu kwasababu hio ndio homoni inayocontroll sukari mwilini na homoni hio ina wajibu wa kusafirisha sukari kutoka kwenye damu kwenda kwenye body cells.Waathirika wa ugonjwa huu wanakuwa na insulinresistens:a condition that our body cells do not react to the effect of insulin

Dalili za ugonjwa huu ni:

1.Maumivu kwenye eneo la tumbo(pelvic pain)
2.Kuongezeka kwa uzito
3.Muongezeko wa kukua kwa nywele usoni,kifuani,tumboni na miguuni na mapungufu ya nywele kichwani
4.Unregular menstruation
5.Matatizo kwenye mfumo wa uzazi
6.Ngozi yenye mafuta mengi/chunusi

Jinsi ya kugundua kama una ugonjwa huu:

1.ULTRASOUND:Kipimo vya kuangalia una cysts ngapi na kubwa kiasi gani,kawaida tunakuwa na cysts lakini zikizidi ukubwa/uwingi inakuwa tatizo.
2.Kipimo cha damu kuangalia hormonal changes
3.Mabadiliko kwenye mayai(ovaries)
4.Oligo or amenorrhea

Matibabu:

Njia mojawapo ya kutibu ugonjwa huu ni upasuaji wa hizo cysts
1.Anticontraceptives(Birth controlpills),
2.Insulin-sensitizing medication:dawa zinazotumika kutibu DIABETES TYPE II
3.Ovulation induction:CLOMIFEN NITRATE(matibabu kwa siku 5)ni intial treatment,Ikisha unatakiwa upewe GONADOTROPHINE kama haukupata nafuu ulipotumia clomifen.
4.Matibabu kwaajili ya dalili nyingine kama unasumbuliwa nazo.

Ushauri:Nenda kwa GYNECOLOGIST,ufanyiwe physical examination na upate matibabu sahihi au kuna uwezekano pia ukawa na fibroids kama huna dalili nilizozitaja hapo juu!
 
We utakuwa na cancer wewe, umekaa nayo miaka mi 3 hujaisomea wala nn,
ushajikatia tamaa,
Kafie mbele.

Anza kufa wewe mpuuzi mkubwa wewe mwenzio anaumwa halafu unaleta dhihaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…