Am21yrz old, ila meambiwa nna uvimbe kwenye my right ovar, n nkafanya utrasaund kweli nliona hiyo sehem n ilikua tofaut na left one, ilikua mwez wa sita, ckupewa dawa ila doc aliniambia nirud baada ya miez3 kuangalia kama kinakua au huo uvimbe unaisha!! Bado cjarud hosp, nasubr mwez wa kumi mwanzon nirud hosp! Chaajabu xaxa, ni kwamba napata maumivu makali sana kushoto kwangu, yan naumia mpaka wakat mwngne mguu wangu wa kushoto nao unauma kuanzia kiunon had unyayon, naumia sana jamani, n wakati mwingine pakiwa panauma natokwa na majimaji kwenye papuchii, nlipma fangac na uti ckua navyo, naumwa!!! Pliz ushaur unaitajika, utani hautanisaidia jaman