Nisaidieni jamani, am seriously sick!!!

mimi49 mungu akubariki sana sana atleast umeonyesha pakuanzia asante sana kuna huyo aliyesomea polytechnic college kwa 3 yrs anajiita kidole007 hana akili kabisa hajui ethics za za uuguzi anajiropokea tu eti experience aisee nafikiri sindani fuata ushauri huu na rudi kwa doct na umwone huyo mtaalamu uliyeambiwa.mimi sina chakukuambia ila nitakakuweka kwenye maombi mazito ya imani yangu na Mungu atatende.uwe na maisha marefu
 
Last edited by a moderator:
sindani,

Pole kwa tatizo lako,

Tatizo la vivimbe/uvimbe huwapata wanawake katika rika mbalimbali, hata hivyo uvimbe/vivimbe hivi hutegemeana na aina yake mfano, vivimbe vyenye majimaji, vivimbe vigumu, saratani n.k Hata hivyo vyote hivi husababisha maumivu ya tumbo/kiuno, n.k Dalili nyingine ni pamoja na kukosa siku (kwa usahihi), maumivu makali sana wakati wa hedhi, kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi n.k

Sasa kwa kutegemea vipimo mbali mbalimbali mfano picha za sauti (Ultrasound Sonograghy) inaweza kubaibisha shida hasa ni nini, vile vile Upimwaji wa vichochezi (Hormones), hutofautisha chanzo cha tatizo, n.k

Matibabu hasa hutegemeana na chanzo cha tatizo ni nini, dawa nyingine mfano dawa za maumivu, ushauri, n.k husaidia.

Sasa, kulingana na maelezo yako hapo juu (ingawa si Toshelezi), kuna umuhimu wa kutumia dawa za maumivu, lakini ni vyema ukaonana na daktari kwanza! Pili endelea kuangalia mabadiliko ya mwili mfano, mzunguko wa siku zako, wingi/uchache wa damu wakati wa mzunguko, maumivu mf. ya tumbo, maziwa, n.k.

Mwisho, jaribu kutumia lugha inayoeleweka sidhani kama kuna haja ya kufupisha neno lililo fupi tayari, si watumiaji wa jukwaa wote ni vijana/ufahamu sawa na wewe..Wakati fulani lugha/maandishi mengine yanachefua (mf. Cjua, xaxa, n, yan, n.k) haya na mengine mengi yanakatisha tamaa kusoma maelezo hadi mwisho kutokana na aina ya uandishi.(I stand to be corrected).

Nakutakia Afya njema.
 
Last edited by a moderator:
maombi ndio akili yako ilipoishia no wonder
kama hujui kitu ni bora unyamaze
in the mean time endelea kumwombea
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mpendwa. Mungu In sha Allah atakponya na utarudi kwenye afya yako kama awali. Cha muhimu zingatia ushauri wa wataalam na urudi hospital kwa uchunguzi na tiba zaidi. The earlier the better.
All the best
 
We utakuwa na cancer wewe, umekaa nayo miaka mi 3 hujaisomea wala nn,
ushajikatia tamaa,
Kafie mbele.
yawezekana una cancer ya ubongo na huna akili timamu, mtu anaomba msaada we unaleta usenge wako! shez type
 
It is a high time to go to the hospital and see your doctor again, even before your appointment day. You have a new symptom and it is important to go to the hospital again.

There are many differentials (possibilities), probably it is an ovarian cyst but it can as well be a myoma just to mention the few!

The pain can be due to torsion, infection, compressing nearby structures etc etc. It is important to note if there is any changes in your menstrual cycle like flow, duration etc.
 

.........
Watu wengine bhana....Si urudi hospital ?????
 
umesoma miaka mitatu bure kabisa ,ushaurii nasaha huna wewe wala ethics za kazi yako huzijui miaka mitatu my ass ptuuuuu
kweli hat mimi nahis ameunga unga hiyo elimu yake....nikikutana na doctor kama huyu ni makofi tu...
 
maelezo yake yanajitosheleza aliambiwa ana tumour (uvimbe) hakupewa dawa akaambiwa arudi after 3month probably huyo dr alitaka kuona kma uvimbe umeongezeka au lah
based on expirience cancer hyo so sad shez only 21
kidole007 kumbe na wewe unaakili mbofumbofu namna hii!shame on you
 
Last edited by a moderator:
hya tuone kma ushauri nasaha wako utamponya mgonjwa

Shame on you...unadhalilisha taaluma kabisa! No wonder wahudumu wa afya wanaonekana watu wa hovyo sababu ya watu kama wewe!
 
Pole sana ila kwa hali hiyo usingoje mpaka miezi 3 ifike tafadhali kimbilia hospitali leo kama inawezekana
 
J

Pole dada,mi ninavyo ona check another option bongo wataondoa uterus yako trust me,kwanini nimesema hivyo kuna mama mmoja ana fibroid kwenye uterus option waliompa hospital ni kutoa uterus yote.sasa aka niomba nicheck hospital za huku bangalore- india na ma doctor baada ya kucheck utrasound yake wakasema wana mtibu na kuondoa hizo fibroid bira upasuaji na anakuja huku on december mwaka huu kwa matibabu
1. Atafanyiwa mri screening ya
Uterus
Yake kujua kiasi gani cha fibroid
zipo.
2. For treatment watamfanyia MRI
HIFU treatment.
Ni treatment ambayo hawakupasui sema ni gharama kidogo.ushauri ongea na familia yako wakusaidie kukuleta bangalore kwa matibabu.nitumie utrasound yako niulizie hospital nita ku PM email address yangu afu nitakupa majibu asap.Hii process ni painless,hauta lazwa,baada ya mtibabu unaondoka same day.pole sista wahi matibabu mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…