Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maombi ndio akili yako ilipoishia no wondermimi49 mungu akubariki sana sana atleast umeonyesha pakuanzia asante sana kuna huyo aliyesomea polytechnic college kwa 3 yrs anajiita kidole007 hana akili kabisa hajui ethics za za uuguzi anajiropokea tu eti experience aisee nafikiri sindani fuata ushauri huu na rudi kwa doct na umwone huyo mtaalamu uliyeambiwa.mimi sina chakukuambia ila nitakakuweka kwenye maombi mazito ya imani yangu na Mungu atatende.uwe na maisha marefu
We utakuwa na cancer wewe, umekaa nayo miaka mi 3 hujaisomea wala nn,
ushajikatia tamaa,
Kafie mbele.
yawezekana una cancer ya ubongo na huna akili timamu, mtu anaomba msaada we unaleta usenge wako! shez typeWe utakuwa na cancer wewe, umekaa nayo miaka mi 3 hujaisomea wala nn,
ushajikatia tamaa,
Kafie mbele.
Am21yrz old, ila meambiwa nna uvimbe kwenye my right ovar, n nkafanya utrasaund kweli nliona hiyo sehem n ilikua tofaut na left one, ilikua mwez wa sita, ckupewa dawa ila doc aliniambia nirud baada ya miez3 kuangalia kama kinakua au huo uvimbe unaisha!! Bado cjarud hosp, nasubr mwez wa kumi mwanzon nirud hosp! Chaajabu xaxa, ni kwamba napata maumivu makali sana kushoto kwangu, yan naumia mpaka wakat mwngne mguu wangu wa kushoto nao unauma kuanzia kiunon had unyayon, naumia sana jamani, n wakati mwingine pakiwa panauma natokwa na majimaji kwenye papuchii, nlipma fangac na uti ckua navyo, naumwa!!! Pliz ushaur unaitajika, utani hautanisaidia jaman
kweli hat mimi nahis ameunga unga hiyo elimu yake....nikikutana na doctor kama huyu ni makofi tu...umesoma miaka mitatu bure kabisa ,ushaurii nasaha huna wewe wala ethics za kazi yako huzijui miaka mitatu my ass ptuuuuu
kidole007 kumbe na wewe unaakili mbofumbofu namna hii!shame on youmaelezo yake yanajitosheleza aliambiwa ana tumour (uvimbe) hakupewa dawa akaambiwa arudi after 3month probably huyo dr alitaka kuona kma uvimbe umeongezeka au lah
based on expirience cancer hyo so sad shez only 21
hya tuone kma ushauri nasaha wako utamponya mgonjwa
Am21yrz old, ila meambiwa nna uvimbe kwenye my right ovar, n nkafanya utrasaund kweli nliona hiyo sehem n ilikua tofaut na left one, ilikua mwez wa sita, ckupewa dawa ila doc aliniambia nirud baada ya miez3 kuangalia kama kinakua au huo uvimbe unaisha!! Bado cjarud hosp, nasubr mwez wa kumi mwanzon nirud hosp! Chaajabu xaxa, ni kwamba napata maumivu makali sana kushoto kwangu, yan naumia mpaka wakat mwngne mguu wangu wa kushoto nao unauma kuanzia kiunon had unyayon, naumia sana jamani, n wakati mwingine pakiwa panauma natokwa na majimaji kwenye papuchii, nlipma fangac na uti ckua navyo, naumwa!!! Pliz ushaur unaitajika, utani hautanisaidia jaman
Not every swelling on ovary are ovarian cancer!