Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
- Thread starter
-
- #21
Sasa kama nyumba ndogo inakupunguziaga presha, umekuja humu jamvini tukuongezee pressure? Mnunulie prado kipisi atakuwa anachaji simu 10 hrs badala ya 12!
mmmh,sijui hata niseme nini
Kama nimuacha ama vipi?
huoni hata haya kusema kanyumba kadogo, ni bora ungesema mke wa pili hapo ingesound vizuri kidogo. Hivi utajisikiaje siku ukisikia mkeo ameongeza kadumu kadogo kwa ajili ya kutatua shida ndogo ndogo?
Sasa dada Lizzy nipe solution!!! Nimesha invest vya kutosha.
wakati unaenda ulikuja kuomba ushauri.
Kwani mkuu we dini gani?kama muislam oa tu hiyo small house ule mzigo kwa raha zako
kijana nyumba ndogo haitakiwi kuaminiwa hata siku moja...hiyo ni ya starehe tuu basi hamna chengine kakaka. simu yake iache wala usiulize...hakikisha hnachapa mzigo basi!!! nd never fall inlove wit nyumba ndogo.
Kama nimuacha ama vipi?
Pole kwa kudanganyika.
Kwani ulipomtaka awe Nyumba ndogo ulimuuliza kama wewe uko peke yako?
Unadhani unapomuacha ukaenda kwa mkeo, yeye huku nyuma atavumilia kufikiria
umemkumbatia mkeo yeye akae tu anakusubiri wewe? Kwa taarifa yako, nyumba ndogo
hukufanya wewe mume wa mtu kama daraja la kufikia malengo na kisha kukutupilia mbali.
Subiri utayaona.
Nimepata kanyumba ndogo kanafanya kwenye hoteli fulani ya kitalii hapa mjini. Kweli ni mzuri na ananipa penzi vizuri sana I really enjoy (Pls note that I love my wife). Ila nina shida moja tu na huyu dada kwani simuamini kwa 100% with the following reasons.
1. Mpaka sasa nimekaa nae kwa miezi mitatu ila sijawahi kuingia kwake ila naishiaga getini nam drop/mpick wakati anaishi mwenyewe.
2. Simu yake huwa hataki niiguse kabisa lakini yangu anaweza ishika 24/7.
3. Kuna wakati nikimrudisha home kwake ukipiga simu haipatikani kabisa mpaka kesho yake ukimuuliza anakwambia iliisha charge yaani masaa 12 unacharge simu utafikiri inatumia battery ya caterpillar.
Kweli kinacho niuma mimi nampenda sana na nina mjali kwa mahitaji yake yoteeeeeeeeeeeee. Akitaka club, shopping, lot of outing etc.
Naombeni ushauri wenu jamani kwani mwenzenu roho inaniuma sana.
Chukua maji na chumvi uchanganye utapata solution!!