Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

Sasa kama nyumba ndogo inakupunguziaga presha, umekuja humu jamvini tukuongezee pressure? Mnunulie prado kipisi atakuwa anachaji simu 10 hrs badala ya 12!

Ah prado bado ila atakuja pata kausafiri
 
Huoni hata haya kusema kanyumba kadogo, ni bora ungesema mke wa pili hapo ingesound vizuri kidogo. Hivi utajisikiaje siku ukisikia mkeo ameongeza kadumu kadogo kwa ajili ya kutatua shida ndogo ndogo?
 
huoni hata haya kusema kanyumba kadogo, ni bora ungesema mke wa pili hapo ingesound vizuri kidogo. Hivi utajisikiaje siku ukisikia mkeo ameongeza kadumu kadogo kwa ajili ya kutatua shida ndogo ndogo?

tz guy - kuwa uyaone
 
Kwani mkuu we dini gani?kama muislam oa tu hiyo small house ule mzigo kwa raha zako
 
kijana nyumba ndogo haitakiwi kuaminiwa hata siku moja...hiyo ni ya starehe tuu basi hamna chengine kakaka. simu yake iache wala usiulize...hakikisha hnachapa mzigo basi!!! nd never fall inlove wit nyumba ndogo.
 
kijana nyumba ndogo haitakiwi kuaminiwa hata siku moja...hiyo ni ya starehe tuu basi hamna chengine kakaka. simu yake iache wala usiulize...hakikisha hnachapa mzigo basi!!! nd never fall inlove wit nyumba ndogo.

Kaka kawivu, si unajua tena nime invest kiasi fulani?
 
Pole kwa kudanganyika.
Kwani ulipomtaka awe Nyumba ndogo ulimuuliza kama wewe uko peke yako?
Unadhani unapomuacha ukaenda kwa mkeo, yeye huku nyuma atavumilia kufikiria
umemkumbatia mkeo yeye akae tu anakusubiri wewe? Kwa taarifa yako, nyumba ndogo
hukufanya wewe mume wa mtu kama daraja la kufikia malengo na kisha kukutupilia mbali.
Subiri utayaona.
 
Pole kwa kudanganyika.
Kwani ulipomtaka awe Nyumba ndogo ulimuuliza kama wewe uko peke yako?
Unadhani unapomuacha ukaenda kwa mkeo, yeye huku nyuma atavumilia kufikiria
umemkumbatia mkeo yeye akae tu anakusubiri wewe? Kwa taarifa yako, nyumba ndogo
hukufanya wewe mume wa mtu kama daraja la kufikia malengo na kisha kukutupilia mbali.
Subiri utayaona.

Aisee, watakuwa ni washenzi ee?
 
Nimepata kanyumba ndogo kanafanya kwenye hoteli fulani ya kitalii hapa mjini. Kweli ni mzuri na ananipa penzi vizuri sana I really enjoy (Pls note that I love my wife). Ila nina shida moja tu na huyu dada kwani simuamini kwa 100% with the following reasons.

1. Mpaka sasa nimekaa nae kwa miezi mitatu ila sijawahi kuingia kwake ila naishiaga getini nam drop/mpick wakati anaishi mwenyewe.
2. Simu yake huwa hataki niiguse kabisa lakini yangu anaweza ishika 24/7.
3. Kuna wakati nikimrudisha home kwake ukipiga simu haipatikani kabisa mpaka kesho yake ukimuuliza anakwambia iliisha charge yaani masaa 12 unacharge simu utafikiri inatumia battery ya caterpillar.

Kweli kinacho niuma mimi nampenda sana na nina mjali kwa mahitaji yake yoteeeeeeeeeeeee. Akitaka club, shopping, lot of outing etc.

Naombeni ushauri wenu jamani kwani mwenzenu roho inaniuma sana.

Yeye anajua kuwa ni nyumba ndogo kwako halafu unategemea ajione nyumba kubwa! Hooovyo!
 
Naomba kama kuna mdada nyumba ndogo ya mtu humu JF achangie hapa atueleze nyumba ndogo wanavyo behave in general. Saidia tafadhali.
 
Hivi wewe original wa uzinzi;
umegeuza jf pa kuletea upuuzi wako wa uzizi? Wewe unamwita nyumba ndogo, then wewe unategemea akuite nyumba kubwa? Hilo sahau kabisa. Halafu usikute familia yako inataabika kweli unatafuta visingizio vingi ili uendelee kuhalalisha uzinzi wako. Hivi wewe una mtoto? Je unategemea huyo mtoto/watoto utawaachia nani baada ya kumuua na mkeo? Mbona huna huruma kiasi hicho wewe baba? Na kwa taarifa yako; hao wanaofanya kwenye hoteli za kitalii sasa ndiyo usiseme kabisa? Ujakaa na kujiuliza ni kwanini wengi wao hawaolewi? Ndugu yangu ub.... Moja haumtoshi, hivyo hata wewe kaa ukijua mpo wengi na wewe ni nyumba ndogo kati ya zile nyumba ndogo nyingi zilizopewa no. Kwake kama vile una appointment. Unanikumbusha wimbo wa yule dogo asley (leo nitasema kwa mama).
Zinduka mwanaume wewe uzinzi siyo sifa karne hii, mpende mkeo na kumjali na kupenda familia yako.
 
Yaani uko free kabisa kutushirikisha pumba zako? Huoni hata soni kidogo?? Eti haya mambo yapo, na ushoga upo pia jaribu alafu ujje utuombe ushari. Fisadi usiye na haya.
 
Back
Top Bottom