Nisaidieni jamani. Kujichua kumenimaliza kabisa.

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
246
wakuu, nimeathiriwa na kujichua kwa muda mrefu ( ni kama miaka nane hivi ). Sikutaka kuwa na msichana hadi nitakapo kamilisha vitu fulani fulani vya kimaisha. Sasa leo nina msichana ambaye nina uhusiano nae lakini tatizo linakuja pale tunapokuwa falagha. Yani uume wangu unasimama ila unakuwa dhaifu na hauchelewi kunywea. Hii ni tofauti na zamani ambapo uume ulikuwa unasimama na kuwa strong kabisa. Yani jamani hata kile kitendo cha kuuingiza kwenye uke inashindikana. Yani nikiingiza kwakuwa ni dhaifu basi unapinda kabisa na kushindwa kuingia. Tena haipiti siku bila uume waku kusimama. Siyo mchana wala usiku wala asubuhi uume huwa unasimama tu. Ila tatizo hauwi strong.

NILICHOAMUA KUFANYA.

Niliposoma madhara ya kujichua nikagundua kuwa tatizo langu litakuwa linasababishwa na kujichua. Sasa nilichoamua kufanya ni yafuatayo......

1. Kuacha KUJICHUA.
Kuacha kula sembe na kuanza kula DONA ama mara nyingine UGALI wa MUHOGO.

2. Kula matunda kama Tikiti, palachichi, machungwa n.k

3.Kula pweza na mchuzi.

4. Kula asali asubuhi na jioni kabla ya kulala.

5. Najitahi kunywa maji mengi kwa siku.

6.Najitahidi Kufanya mazoezi. Nina mwezi mmoja na nusu tangu niache kujichua na kufanya haya nianayoyasema ( sasa hivi yani hadi watu wananishangaa the way ninavyokuwa strong kimwili ) ila bado tu kule kwenye uume ukisimama bado hauwi strong.

Je, niendelee hivi au niongeze nini au nifanye nini ili nirudi kwenye hali yangu ya awali???? Nisaidieni wakuu.
 
miaka nane ya kujichua ndo unataka matokeo ya mwezi mmmoja? endelea na zoezi miaka nane utapata matopkeo mqazuri. pia jaribu hiyo Kegel exercise aliyo kushauri mpendwea hapo juu
 
Ulikuwa unajistarehesha kwa huo muda wa miaka 8 hongera sana. Kwa kula Ugali na hao mchuzi wa pweza au matikiti maji na hivyo vyakula vingine ulivyosema

haitoweza kurudisha mapema hali yako kama ulivyokuwa zamani itachukuwa muda mrefu kurudi

hali yako kama ya zamani. Ukitaka dawa ya kuweza kurudisha hali yako ya nguvu kama zamani

hebu tembelea bonyeza hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

google KEGEL EXERSISE..
Mkuu Somji Juma Mkuu Tanki Mazoezi ya KEGEL EXERSISE hayatamsaidia kitu amesha athirika na upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kupiga hiyo Punyeto ameshakuwa Mwanachama wa Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania (ChaWaPuTa).

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) Je Kuna Faida au Hasara ya Kupiga Punyeto?

Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.

Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.

Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto" in English "Masturbation" huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:



  1. Upungufu wa nguvu za kiume.

Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.



  1. Kutofurahia tendo la ndoa.

Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.



  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.



  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.

Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.




  1. Kukosa nguvu katika magoti.

Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:



  1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.






  1. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.








  1. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.








  1. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.








  1. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.








  1. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.


Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.

Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).

Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.


Mkuu MziziMkavu pita na huku..
Mkuu LORDVILLE hujambo lakini?
 
Ushauri wangu kwako kuchaacha moja kwa moja kujichua au kupiga ponyeto kuna madhara yake ambayo yanaweza kukutokea nayo ni kama ifuatavo. Msongamano wa shahawa ukizidi n.a. Kufunga njia ya kawaida inapotoka hugeuka na Kuanza kukaa njuma kwahiyo huenda kwa baadae ukanza kupata hisia za kutaka mwanaume na hapo ndio use nge unapoanza tahathari sana
 

Mhh...si kweli.....afanye mazoezi tu labda mungu atajalia aseee
 

Kuna dawa inatangazwaga humu na health inaitwa revive ambayo yenyew ni ya mitishamba....wanasema imetengenezwa na mimea ya epimodium na ginseng ambazo uchunguzi wa kisayansi unaonesha iyo mimea inasaidia....wanadai pia imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa so uamuzi ni wako
 
Last edited by a moderator:
Na hii sera ya kaka mkubwa baba Mkwe OB ndo ushaolewa tenaa mwenzetu....Pole sana!
 

Nakushauri ufuatilie maelezo ya kuhusu dose husika ya kuweza kumalizana na hilo tatizo lako Mr. hapo chini.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo


REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/-na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
 

Attachments

  • CA+FE+ZI Plus.jpg
    16.2 KB · Views: 769
Nenda Hospital kubwa ongea na dks watakupima na kukupatia tiba sahihi. Achana na waganga wa kienyeji mitaani na mabango yao. Kwa maelezo zaidi ni-PM.

 

Kwa wale waliokuwa wanaulizia kuhusu kama ni kweli zinaondoa tatizo kwa sababu walishachoka wafuatilie hiyo link hapa chini kwa wenye kutoa ushuhuda

Testimony-REVIVE
 
Pooe saana Tanki,

Ila nakuhakikishia kuwa utapona kabisa na utarudi kutoa ushuhuda hapa jukwaani. Soma hapa chini aafu ni-PM.

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/391345-ushuduhuda-upungufu-wa-nguvu-za-kiume-tiba-halisi.html

mudushi


 
Ndugu Zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu.

Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za kiume. Kwa kweli ni tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu. Sikuwa naweza hata kusimamisha kwa dakika. Kabla ya kuja jamvini nilikuwa nimetembea kwa waganga wengi mnoooo. Nilikula dawa zao za kutosha. Nilienda Mwanza, Arusha, Mbeya, Kenya, DSM, Dom na kwingine kwengi tu. Sikupata hata nafuu kidogo. Nilipokuja humu jamvini nilipata ushauri na hata waganga wengine walinialika nitumie dawa zao kwa kunihakikishia kuwa ni tiba sahihi kwa 100%. Sitawataja kwa sababu ya maadili na kwa kuwa wako kazini na kwa kuwa nimekujatoa ushuhuda. Ukweli ni kuwa nimenunua hizi dawa za hawa waganga nyingine kwa Tshs, USD, rand n.k na nilizitumia kwa uaminifu mkuwa kabisa. Tofauti na nilivofikiri kwa kweli ckupata nafuu hata kidogo.

Kuna jamaa mmoja alinitonya kuwa nenda hispital umwone Dr wa hiyo issue yako. Niliamua kwenda MNH ingawa kwa aibu kubwa mnooo. Wakati najieleza Dr alikatisha maelezo yangu akaniuliza km nna sukari, pumu, k/kikuu nk. Nikamwambia hapana, tatizo langu ni hili hapa. Akaniambia kapime hivi haafu ulete majibu, ckujua ninini. Nilienda kwa vipimo nikachukuliwa damu baada ya muda nikapewa majibu na nikauliza walipima nn. Mtaalamu wa vipimo akaniambia alipima hormones mwilini bac nikarudi kwa dr. Dr baada ya kupitia majibu akaniambia hormones za kiume (testosterone) zimeshuka. Nikamwambia sasa? Akajibu zipandishe. Akaniandikia dawa za miezi mitatu. Kwa kweli nilitumia dawa kuanzia mwezi August 2012 na kufikia september mambo yalianza kubadilika kabisa na mpaka sasa natoa ushuhuda mm ni mwingine kabisa. Sasa nazingatia mlo na mazoezi (gym).

Ushauri wangu kwa wengi wenye hii issue ni kuwa nendeni hospital mkajue ni nni hasa tatizo ndo muanze tiba. Najua Waganga wa humu JF hamtaipenda hii lakini tukubali ukweli, ili watu wasipoteze muda na pesa nyingi km mm nilivofanya.

Yeyote anaetaka maelezo zaidi an-PM.

Mudushi
 
Kula supu ya huyu mdudu.
 

Attachments

  • Chura1.jpg
    23.5 KB · Views: 520
Mkuu Hii Kitu Hata Kwangu Ni Tatizo Nipo Kwenye Matibabu

Nilienda Private Hospital Nimepima Hormones

Testosterone-low
Gonadotropin-low
Erection Transmitter-very Low

Hii Inatibika Hospitali Inachukua Miezi Mitatu Mpaka Minne, Nimepewa Dawa Za Kuongeza Hormones, Mkuu Njia Za Mkato Zina Risk.
 
Hello wanajamii! Nimekuwa nikipokea simu na ujumbe mwingi kuwa hii huduma bado ipo ama laa maana wanasoma post za tangu mwaka 2013. Napenda kuwajulisha huduma inaendelea na kuwapo kimya humu ni kutokana na kazi kuwa nyingi sana. Mtu akiwa na shida yoyote asisite kuendelea kunitumia ujumbe katika email ya ishealthy@hotmail.com au kunipigia kwa namba 0776491294/0713889162. Karibuni sana kwa moyo wa ukarimu sana nipo kuwahudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…