Guys, miaka mitatu sasa imepita nimekuwa nikisikia maumivu katika mguu wa kushoto, kuanzia kwenye paja la kushoto mpaka kwenye kisigino. Mguu unapata moto. Nilifanya procedure zote za kidactari lakini naona bado sijapona. Nilishafanya X-RAY, Scanning lakini hakuna tatizo. Sasa hivi nasikia kichomi upande wangu wa kushoto wa mbavu. Pia na mkono wa kushoto una maumivu kwa mbali na unakosa nguvu. Nikinywa maji mkojo unanibana haraka. Naona jogoo wangu unasinyaa kwa kasi. Sijawahi kufanya tendo la ndoa lakini nahisi sitakuwa na nguvu za kutosha. Can U help me?