in red, why?Habarini wakuu!!!
Nasumbuliwa na maradhi nisiyoyaelewa, tangu juzi usiku nasikia maumivu makali sehemu zangu zote za siri ila ni maeneo ya nyama ya nje na sehemu inakopita chupi kiasi cha kwamba hata nikipagusa tu panama.Na maumivu sehemu ya kukojolea ka kichomi hv mi hata sijielewi.
NIMEPIMA SINA UTI NA SIJAFANYA MAPENZI KWA MIEZI SITA!!!NISAIDIENI WAKUU NAUMIA