Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

Yaap yaani unaunganisha matokeo. Mfano kama cheti cha mwanzo ulikuwa na crdt 2 na baada ya kurst ukapa crdt 1 unaziunganisha unakuwa umequalify kust VI
 
kisw-B
math-D
civ-E
his-E
geo-E
bios-F na matokeo ya mwanzo nlkuwa na D 5 na F 2 yan F-za physics na history hapo nitaenda wap jamani
 
We nawe acha kupanik kwani private schools hamna?
 
Back
Top Bottom