Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Mtoto aliuliza swali mapema kidogo ila baba alikosa jibu ndio bado anamweka macho... labda akamlaze alafu tuendelee kumtafutia jibuMwambie watoto wanatakiwa wawe wamelala muda huu au wakubwa huwa hawaulizwi maswali na watoto.