mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
Naamini mko poa wana jf.. mimi ni mwanafunzi nipo kidato cha sita, Naomba anayejua hatua za kubadilisha jina anisaidie kwani hli ninalotumia nilipewa nilporudia darasa la tano, natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
Mmh kulikuwa na ulazima gani kutaja elimu yako
Soma vizuri uelewe...
Dogo tafuta msaada Wa kisheria kwenye firm yoyote..
miaka hyo ya 2006 nilrudia ndo wakanipa jna lingne so nataka vyeti vyangu vyote vbadilishwe