Nisaidieni jinsi ya kufanya marketing

Nisaidieni jinsi ya kufanya marketing

Unatumia mbinu gani kujitofautisha kwenye biashara yako?
 
Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni.
 
Mkuu anza kuwekeza mtandaoni.

Jifunze jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii katika biashara yako.

Kama kweli unayo nia ya dhati na hiyo saluni kuwekeza muda na pesa kidogo ili kuanza kuitambulisha mtandaoni litakuwa ni jambo la kawaida.

Tunaweza wasiliana kama utahitaji kuandaliwa muongozo hatua kwa hatua jinsi ya kuanza, kuanzia kufungua kurasa za biashara mtandaoni, kuzikuza na jinsi ya kuwafikia wengi zaidi.
 
Unatumia mbinu gani kujitofautisha kwenye biashara yako?
Asante mkuu ngoja niipitie hii
 
Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni.
Asante mkuu ngoja niipitie hii
 
Mkuu anza kuwekeza mtandaoni.

Jifunze jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii katika biashara yako.

Kama kweli unayo nia ya dhati na hiyo saluni kuwekeza muda na pesa kidogo ili kuanza kuitambulisha mtandaoni litakuwa ni jambo la kawaida.

Tunaweza wasiliana kama utahitaji kuandaliwa muongozo hatua kwa hatua jinsi ya kuanza, kuanzia kufungua kurasa za biashara mtandaoni, kuzikuza na jinsi ya kuwafikia wengi zaidi.
Asante mkuu nakupm
 
Napenda kuongezea kwa wenzangu waliougusia kutumia mtandao/mitandao ya jamii. Ukitathmini kundi la watu unaowalenga katika biashara yako na kundi la watu wanaotumia huduma yako tayari (wateja), unaweza kuona namna ya kutumia mtandao kwa fanaka zaidi (je, wanatumia mitandao gani? Unaweza kuwavutiaje na kuwafikiaje kwa uzuri ukiwa na ofa maalumu).

Unaweza kuangalia ofa gani zingine za kuvutia unaweza kutoa, kama vile huduma ya 11 ya bure (au punguzo zuri) kwa mtu aliyekuja mara 10. Au "bonus" kwa mteja anayeleta mteja mwingine, maana wateja wako ni watangazaji wazuri, wakipenda huduma yako. Kulingana na hali halisi hapo, utaona njia gani nzuri ya kufuata.

Ukipenda, tunaweza kuwasiliana zaidi, tukafanya brainstorming ili kupata mawazo zaidi
 
Back
Top Bottom