Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Hiyo itakuwa safi zaidi naweza kusimamisha kwa miaka hata 10?Tofauti ya kuuza na kufunga hamna kwani unachofanya ni kujiondoa katika ownership na kumpatia mtu mwingine umiliki.Ila kama unataka kuifunga kwa muda kisha baadae uifungue basi nenda brela na TRA unawajulisha kwamba You have Seized Trading.
Miaka 10 mingi, maana itabidi uendelee kulipia baadhi ya mambo kila mwaka kule BRELA.Kama umeamua basi itabidi ufanye winding up to,Ongea na Mwanasheria akuongoze ili isikuletee usumbufuHiyo itakuwa safi zaidi naweza kusimamisha kwa miaka hata 10?
Na vipi endapo utaamua kutelekeza kimya kimya bila kutoa info popoteMiaka 10 mingi, maana itabidi uendelee kulipia baadhi ya mambo kila mwaka kule BRELA.Kama umeamua basi itabidi ufanye winding up to,Ongea na Mwanasheria akuongoze ili isikuletee usumbufu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamii forum kuna watu na [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Piga kufuli kwenye mlango wa kampuni, halafu tambaa..
Unafunga biashara wakati mzee meko anasema uchumi unakua? jiandae kuambiwa ulikua mpiga dili!Mambo zenu,
Nataka kufunga kampuni baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa biashara, anayejua process anipe fasta. Haina deni na documents zote ziko okay. Naanzia wapi na naishia wapi?
Karibuni
uTAENDELEA KUWA NA MADENI....Na vipi endapo utaamua kutelekeza kimya kimya bila kutoa info popote
Na vipi endapo utaamua kutelekeza kimya kimya bila kutoa info popote