Nisaidieni jinsi ya kufunga kampuni

Nisaidieni jinsi ya kufunga kampuni

Waone wataalamu waliokusaidia kufungua si unajua aliyechomeka ndiye wa kuchomoa?
 
Waone wataalamu waliokusaidia kufungua si unajua aliyechomeka ndiye wa kuchomoa?
Kufungua kampuni ni kama ndoa. Ni rahisi kufungua kampuni ni kama kuomba mkopo benki kama unakopesheka. Vita hipo wakati wa kuifunga utapigiwa mahesabu ya kodi mpaka ulowe jasho
 
Back
Top Bottom