Kufungua kampuni ni kama ndoa. Ni rahisi kufungua kampuni ni kama kuomba mkopo benki kama unakopesheka. Vita hipo wakati wa kuifunga utapigiwa mahesabu ya kodi mpaka ulowe jasho
Nataka kufunga kampuni baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa biashara, anayejua process anipe fasta. Haina deni na documents zote ziko okay. Naanzia wapi na naishia wapi?