Nisaidieni jinsi ya kuweka pesa TICKMILL

ACHA KUPOTOSHA WATU WAJE KUCHEZA KAMALI KWA BIASHARA UCHWARA YA KITAPELI SABABU TU NAWE NI MIONGONI MWA MAWAKALA WANAOLIPWA PESA KUWARUBUNI WATU ILI WANASE KWENYE 18 ZENU.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ye ni wakala kivipi??na akipata hao watu analipwaje??aisee kuna viumbe wagumu kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
NIKIINGIA NA ID FEKI HUMU AFU NIKAANDIKA FAIDA TUPU ZA KUWEMO KATIKA BIASHARA YA FOREX WAKATI HUO HUO MIMI NI MUHAMASISHAJI WA KUTANGAZA BIASHARA NA KUTAFUTA WATEJA ZAIDI ILI FOREX IWE PANA HASA KWA KUWA MAARUFU TOKANA NA WATEJA WENGI.

UTANIJUAJE KUWA MIMI NI WAKALA NAKATI ID YANGU NIMEJIANDIKA WW1?

"VYA KUAMBIWA CHANGANYA NA AKILI ZAKO ZA KUZALIWA"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dude,we are living in 21st Century.Fanya tafiti,usipende kuambiwa.Endelea kutumia simu yako na bando lako kuangalia mange kasema nini na kudownload video za ngono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,basi umeshinda wewe ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lesson 1: Introduction to Forex

• What is Forex?
• Currency Pairs and their type
• Forex trading session.
• Lots
• Pips
• Pip Values
• Buy & Sell
• Bid & Ask
• The Spread

Lesson 2: Buying and Selling
• Introduction to Mt 4.
• Placing an Order
• Order Types
• Profit and Loss
• Calculating P&L
• Swaps
• Margin
• Calculating Margin Requirement

Lesson 3: Chart Analysis and Price action.
• Technical Analysis
• Charts
• Bar Charts
• Candlestick Charts
• Line Charts
• Bar Chart
• Candlestick Partners
• Eight Types of Candlestick Patterns
• Nine type of chart patterns

Lesson 4: Technical Indicators
• Basic Concepts
• Support & Resistance
• Trending Markets
• Ranging Markets
• Technical Indicators
• What Are Technical Indicators?
• Leading vs. Lagging
• Trend Lines
• Channels
• Moving Averages
• Bollinger Bands
• Fibonnaci Retracement

Lesson 5: Fundamental Analysis

• What is Fundamental Analysis?
• Major Fundamental Indicators
• Interest Rate Differentials
• Growth Rate Differentials
• Political Influences
• Geopolitical Events
• Commodity Prices
• Mergers & Acquisitions
• Other Economic Indicators
• Unemployment
• Retail Sales
• Industrial Production
• Consumer Price Index (CPI)
• Tips to Trading with Fundamentals

Lesson 6: Trading Philosophy & Money Management
• Money Management
• Capital Risk
• Profit Taking and Stop Loss Orders
• Margin


Kwa yeyote anayehitaji mafunzo haya aje inbox
 
Reactions: MNG
Itachukua semister ngap kumaliza hii course
 
Kwahio kufikisha dollar 150 kwa week ya kwanza umejiona fundi sio, yajayo yanafurahisha!!!
 
Mkuu account yako ya tarehe 14 december leo tar 06 Jan vp kuna 0.00 au umeendelea kidogo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…