Nisaidieni jinsi ya kuweka pesa TICKMILL

ACHA KUPOTOSHA WATU WAJE KUCHEZA KAMALI KWA BIASHARA UCHWARA YA KITAPELI SABABU TU NAWE NI MIONGONI MWA MAWAKALA WANAOLIPWA PESA KUWARUBUNI WATU ILI WANASE KWENYE 18 ZENU.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huna taarifa acha kubwabwaja mropoko hv unajua kuna watu wanapiga kweli bingo kwenye forex trading, sijui kibongo ni nani maana wanaopiga pesa nyingi lazima wawe na mzigo mrefu ila kiafrica cheki top ten richest youngest south africans utaona kuna dogo anaitwa Sandile, sahv ana miaka km 24 hv na amepata utajiri wake kwa forex trading na alishafanya mahojiano na hadi CCTV kuelezea mafanikio yake we bado unakaa "Acha utapeli, sijui 18 zenuuu, " haya kaa hivyo hivyo, UDHAIFU WAKO SIO UDHAIFU KWA WOTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi humu naona wanaweka vijisenti visivyozidi $200. Ingawa “wanatrade”, still wanajua risk ni kubwa, ndo maana hawaweki mzigo wa kutosha
 
Tatizo forex ni biashara ya dunia nzima, sio utapeli, na watu km nyinyi ndo mnaipa sifa mbaya forex, mnashindwa kujifunza maarifa mna akili za betting na easy cash mnashindwa mnasema hamma kitu humo ni utapeli.

Wakati ww unasema utapeli kuna haja gani kuwe na masoko km NASDAQ, NYSE, HKSE etc ambayo yanafanya stock na forex dunia nzima au kuna haja gani kuwe na global regulation committee km CySEC, we jamaa hupendi kutafuta maarifa unabwabwaja km una matatizo kichwani. Tafuta maarifa kwanza kabla hujaropoka mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: MNG
Dude,we are living in 21st Century.Fanya tafiti,usipende kuambiwa.Endelea kutumia simu yako na bando lako kuangalia mange kasema nini na kudownload video za ngono

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometime ujinga unapitiliza hadi unajiuliza huyu jamaa mbona hapendi kushughulisha ubongo wake anaongea tu asivyokuwa na uhakika navyo. Ila unakaa unajua tu hawa viumbe lazima wawepo, "negativity makes them comfortable while they bask in their misery"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana MKUU endelea kupata maarifa
We unaetaka kudeposit kwa tickmill ingia telegram tafuta group linaloitwa grobal market then utapata maelekezo yote ya kudeposit me simtumii tickmill nipo na templa tu
Huyu mdau Daud1990 anaweza akakusaidia! ingawa Nyuzi za forex hazinaga mwisho mzuri sijui Kwanini!

Lazima watu watukanane haswaaa

Mi bado naendelea kujifua one yes
 
Naomba nikujibu kistaarabu labda utanielewa hata kama watajiunga watu 1000 huyu jamaa hawez kunufaika kwa vyoyote vile kwa kuwa tuu kahamasisha watu wafanye forex ila kama angetoa IB yake na akatoa link kwa broka wake ndo angepata kamisheni ushauli wangu penda kupata maarifa kwanza kabla ya kutoa comment na ushauli kwa mtoa maada ili utoboe katika forex achana kàbsa na kuleta mrejesho humu ndani ili kuwaprove watu wrong utakatishwa tamaa sana sisi watanzania ni wavivu sana katika kupata maarifa mimi binafsi forex inanifanya niishi maisha ambayo sikuwahi hata kuyaota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema MKUU aache kuleta humu mirejesho coz wengi humu hawajui kitu kazi ni kukatisha tamaaa wenzao
 
Wengi humu naona wanaweka vijisenti visivyozidi $200. Ingawa “wanatrade”, still wanajua risk ni kubwa, ndo maana hawaweki mzigo wa kutosha
Siyo lazima uunze na pesa nyingi kama unajua vizuri hata ukiweka pound 100 inaweza kufika pound nyingi kwa muda mfupi tu.
 
 
Pia jifunze vitu vitakavyo Fanya account yako inyauke maana kuna mtu niliona amesema humu ameamka asubuhi amekuta account yake nyeupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: MNG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…