Mkazuzu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 449
- 557
wakuu,nimekuwa nikipitia tovuti mbali mbali zinazohusu biashara tofauti za mtandaoni,kama vile magari,bidhaa za kielektroniki,kwa kweli kuna vitu vina ubora na bei nafuu,hata usafirishaji wake kuja nchini ni nafuu.
tatizo linakuja hapa;huwa sipendi kukurupuka napenda kabla ya kufanya chochote kufuatilia taratibu zote zinazohusu uagizaji wa vitu,katika hilo nimepitia website ya TRA,kwenye import procedures(sina tafsiri kamili ya Kiswahili)nimekutana na orodha ya vitu vifuatavyo:
Invoice
Pre-delivery declaration form
Agents authorisation letter
TBS,TFDA au mamlaka yeyote inayohusu
Packing list
Transportation documents
TIN.
Utata wangu unakuja,ina maana mlolongo wote huu ni hata unapoagiza saa ya mkononi kutoka nje ya nchi kwa matumizi binafsi lazima uupitie?mbona naona hivyo vielelezo vyote vinawahusu wafanyabiashara,ina maana mtumiaji binafsi,hana nafasi ya kuagiza bidhaa nje ya nchi?nisaidieni katika hilo maana nipo gizani.:A S 20: