Kua na fikra pevu kwa kurudisha kumbukambu nyuma,yale alosema hayapendi ndo baadae anakuuliza kama ushawahi yafanya ni wazi alikua anasema hayapendi kukutega make ndo vitu anavyovipenda. Alitaka kujua msimamo wako kuhusiana na mambo hayo. Jua akina dada huwa hawako wazi hupenda kuzunguka ili wakufahamu bila wewe kuwafahumu. Sasa basi inatakiwa nawe umtege kwa kumwambia yale maswali alokuulza unayafanyia kazi unatamani upate mtu wa kufanyia majaribio uone wanafurahia nini katika utendaji huo.