Nisaidieni Kudadavua: Ana maanisha nini?

Nisaidieni Kudadavua: Ana maanisha nini?

Duh.....kwahiyo inabidi ule kinyesi....aisee mapenzi mengine bwana uhayawani mtupu.."........
 
Hao wanawake wa kufuatilia mwaka mzima bado wapo tena? kwani unatafuta nini hasa? zaidi ya wiki unajipotezea muda.
 
Qa wote waliochangia aidha positively au negatively, I salute.
 
Kua na fikra pevu kwa kurudisha kumbukambu nyuma,yale alosema hayapendi ndo baadae anakuuliza kama ushawahi yafanya ni wazi alikua anasema hayapendi kukutega make ndo vitu anavyovipenda. Alitaka kujua msimamo wako kuhusiana na mambo hayo. Jua akina dada huwa hawako wazi hupenda kuzunguka ili wakufahamu bila wewe kuwafahumu. Sasa basi inatakiwa nawe umtege kwa kumwambia yale maswali alokuulza unayafanyia kazi unatamani upate mtu wa kufanyia majaribio uone wanafurahia nini katika utendaji huo.
 
GITWA aksante kwa kunifumbua macho, sikua nimeyawaza hayo kabisa. Mawazo yako KUNTU nayafanyia kazi kwa haraka sana
 
Back
Top Bottom