Dawa za siku hizi wanasagika tumboni,then Zentel ni dawa nzuri sana kama minyoo.idadi ya vidonge inategemea una minyoo aina gani,mostly ni kimoja ila kuna minyoo wengine unatumia hadi vidonge vinneNakumbuka nikiwa mdogo kuna dawa nlikuwa napewa, zinatoa minyoo mizima unaweza kuihesabu, mingne ilkuwa inatokea mdomoni.
Lakini hizi za leo, unapiga siku 3 lakini hawatoki wazima tena. Dawa zimebadilishwa au? N kwa nini!
Kila siku kimoja kwa siku 4Vidonge vinne kwa mara moja au kwa nyakati tofauti?
Dawa za siku hizi wanasagika tumboni,then Zentel ni dawa nzuri sana kama minyoo.idadi ya vidonge inategemea una minyoo aina gani,mostly ni kimoja ila kuna minyoo wengine unatumia hadi vidonge vinne
Mkuu hiyk zentel inwpatkana wap.. ndo kwanza naiskia
Zentel? Huo sio mtandao wa simu jamani!
Nakumbuka nikiwa mdogo kuna dawa nlikuwa napewa, zinatoa minyoo mizima unaweza kuihesabu, mingne ilkuwa inatokea mdomoni.
Lakini hizi za leo, unapiga siku 3 lakini hawatoki wazima tena. Dawa zimebadilishwa au? N kwa nini!
Nenda duka la Dawa,utaipata tuMkuu hiyk zentel inwpatkana wap.. ndo kwanza naiskia
Dawa inaitwa zentel na mtandao wa simu unaitwa Zantel..vitu viwili tofautiZentel? Huo sio mtandao wa simu jamani!
Mkuu vinapatkna wap
Mie nimetumia kimoja lakini bado bado anasumbua, sana sana nawashwa makalioni na hata kwenye kwenye njia ya haja kubwaDawa za siku hizi wanasagika tumboni,then Zentel ni dawa nzuri sana kama minyoo.idadi ya vidonge inategemea una minyoo aina gani,mostly ni kimoja ila kuna minyoo wengine unatumia hadi vidonge vinne
Zinapatikana pharmacy kubwa na gharama kwa kidonge kimoja ambacho ndio dose, ni sio chini ya elfu 5 nilinunua miaka 5 iliyopita sijui km zimepanda bei au laah ila hizi dawa ni maalumu kwa minyoo wakorofi wanaojificha kwenye utumbo mdogo ambapo dawa za kawaida hazitimu, minyoo hao wanaitwa Ascaris Lumbricoids (round worms) minyoo wa mviringo, ni watabe sana hawa wajomba ila hiyo dawa ni kiboko.Mkuu hiyk zentel inwpatkana wap.. ndo kwanza naiskia
Ni dawa za minyoo aina ya Ascaris lumbricoidsZentel? Huo sio mtandao wa simu jamani!
Hao minyoo wakuwasha matakoni wanaweza hata kudhibitiwa na jana moja linapikiwa chai linaitwa mchaichai, unalichemsha km chai usiweke sukari, kunywa kikombe cha nusu lita asubuhi na mapema, sogeza ratiba ya chai hadi saa 5 ukienda haja utajisaidia, ukichunguza kwa makini utawaona minyoo wadogo wadogo km safura au funza wa chooni.Mie nimetumia kimoja lakini bado bado anasumbua, sana sana nawashwa makalioni na hata kwenye kwenye njia ya haja kubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Hao minyoo wakuwasha matakoni wanaweza hata kudhibitiwa na jana moja linapikiwa chai linaitwa mchaichai, unalichemsha km chai usiweke sukari, kunywa kikombe cha nusu lita asubuhi na mapema, sogeza ratiba ya chai hadi saa 5 ukienda haja utajisaidia, ukichunguza kwa makini utawaona minyoo wadogo wadogo km safura au funza wa chooni.
Kuna dogo mmoja aliwahi kupewa alikunya funza balaa