ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,017
Listen to me hii ninaitumia sana mm. Kama upo vizuri mfukoni. Option one. Chukua nanasi za kutosha. Asubuhi kula nanasi kubwa moja bila kula chochote. Na mchana kula nanasi kubwa na ndizi kadri uwezavo ama parachichi na usile chakula chochotr. Usiku pia kula nanasi zima na lala. Fanya hivi kwa siku tano. Utaniletea majibu