Nisaidieni kuhusu dawa za minyoo

Nisaidieni kuhusu dawa za minyoo

Listen to me hii ninaitumia sana mm. Kama upo vizuri mfukoni. Option one. Chukua nanasi za kutosha. Asubuhi kula nanasi kubwa moja bila kula chochote. Na mchana kula nanasi kubwa na ndizi kadri uwezavo ama parachichi na usile chakula chochotr. Usiku pia kula nanasi zima na lala. Fanya hivi kwa siku tano. Utaniletea majibu
 
Pili. Chukua vitunguu swaum mashina2, majani ya mapera kama 20, na malimao kama 3 kamua malimao halafu saga kwenye blender hii naiita fagiafagia kama u atyphod, amoeba minyoo yote kushney itumia maratatu kwa siku kwa siku5
 
Je, ukichukua punje kama nne za kitunguu swaumu unatafuta uwezekano wa kupona upo....?
 
Dawa za siku hizi wanasagika tumboni,then Zentel ni dawa nzuri sana kama minyoo.idadi ya vidonge inategemea una minyoo aina gani,mostly ni kimoja ila kuna minyoo wengine unatumia hadi vidonge vinne
Zantel?,= praziquatel?
 
Back
Top Bottom