Nisaidieni kumuajiri mdogo wangu wa kike

Nisaidieni kumuajiri mdogo wangu wa kike

warzone

Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
47
Reaction score
105
Habari wakuu, nina mdogo wangu wa kike ambaye ana shahada ya HR miaka 26, naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za mahoteli na kuuza mafuta (sheli), kwasasa yupo tuu nyumbani naona anakata tama, atayeguswa naomba nimtumie mawasiliano PM.
 
Habari wakuu,nina mdogo wangu wakike ambaye ana shahada ya HR miaka 26 ,naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za mahoteli na kuuza mafuta (sheli) ,kwasasa yupo tuu nyumbani naona anakata tama,atayeguswa naomba nimtumie mawasiliano pm.
Ajira tatizo sana Mungu amsaidie
 
Mkuu pole sana.

Sina kazi ninayoweza kumuunganisha nayo Ila nina ujuzi wa digital marketing ambao unaweza kumsaidia kuonyesha uwezo wake mtandaoni au kujiajiri kabisa kama digital marketing manager upande wa Websites au Social media.

Kama atakuwa na moyo wa kujifunza PM iko wazi, nipo Dar.

Sitamfundisha bure pia, atachangia gharama kidogo kutegemeana na kipengele ambacho kitamfaa yeye.

Maisha Sikuhizi yameamia mtandaoni, mtaani tunakutana tu.
 
Unachaji gharama kiasi gani? Weka wazi nasi tukivutiwa tujongee
 
Back
Top Bottom