Nisaidieni kumuajiri mdogo wangu wa kike

Nisaidieni kumuajiri mdogo wangu wa kike

Namuombea uyo bi dada apate mchongo, ila na mimi nina mdogo wangu kajikatia tamaa na ajira yeye kasoma journalism anauzoefu wakutangaza radio mbali mbali anauwezo mkubwa wakutangaza

Na anaweza kufanya kazi zingine kibao yupo Dar

Mkipata assist msinisahau[emoji41]
 
Me pia nina wadogo zangu wawili wa kike yani wamekata tamaa kabisa! Sujui nawasaidia vipi?

Wamesoma accountant na Hotel operations
Waende zanzibar watapata kazi haraka kule ndio kazi zao hzo.
 
Mnaotafuta Kazi humu muwe makini
Kuna dada juzi ametelekezwa ofisini kwangu
Wamemchukulia simu na hela

Anasema aliweka Tangazo la kutafuta kazi, mtu akamtafuta akamwambia kuna kazi eneo fulani aje na kiasi kadhaa cha kumlipa ya udalali
Akafika maeneo ya ofisi yangu akamwambia ni kwa Baba yake , hivyo anafanya mawasiliano na baba yake, aje wasaini mkataba .
Dada akakalishwa Kuna muuza soda pembeni, Yule jamaa akamwomba simu Manake ya kwake imeisha charge,
Alivyokata kona hajaonekana tena, akamwacha mdada wa watu anashangaa shangaa hapo
 
Hawajawahi mkuu,ndo nipo napambana wawe na account huko.Kiufupi ni wamekata tamaa kiasi kwamba hawajishughulishi kwa kitu chochote
Wafungulie account kule wakati wakiendelea na option zingine pia
 
Mnaotafuta Kazi humu muwe makini
Kuna dada juzi ametelekezwa ofisini kwangu
Wamemchukulia simu na hela

Anasema aliweka Tangazo la kutafuta kazi, mtu akamtafuta akamwambia kuna kazi eneo fulani aje na kiasi kadhaa cha kumlipa ya udalali
Akafika maeneo ya ofisi yangu akamwambia ni kwa Baba yake , hivyo anafanya mawasiliano na baba yake, aje wasaini mkataba .
Dada akakalishwa Kuna muuza soda pembeni, Yule jamaa akamwomba simu Manake ya kwake imeisha charge,
Alivyokata kona hajaonekana tena, akamwacha mdada wa watu anashangaa shangaa hapo
Maskini[emoji3064]
Pole yake.

Umakini unahitajika kwa kweli
 
Mashauri pia kwa umri huo akipata mme bora aolewe na asiwe feminist

Mwanamke aliumbwa kuzaa na kulea familia mengine yote atayatekeleza mme.
😁😁😁😁💔we jamaa ushauri wako bhana
 
Hawajawahi mkuu,ndo nipo napambana wawe na account huko.Kiufupi ni wamekata tamaa kiasi kwamba hawajishughulishi kwa kitu chochote
Hapo wanakosea sana....

wajaribu kila sehemu ikiwemo kazi zinazotangazwa na sekretariat ya ajira, hakuna kazi itawafuata bila jitihada za kuisaka.
 
Kwan kuolewa ni ajira? Anaweza kuolewa na mambo yakawa magumu zaid inategemea tu na huyo atakayemuoa.
Mambo yanakuwaje magumu zaidi wakati hapo kazi ni kugegedwa tuu huku mume akihangaika kuleta mahitaji
 
Hawajawahi mkuu,ndo nipo napambana wawe na account huko.Kiufupi ni wamekata tamaa kiasi kwamba hawajishughulishi kwa kitu chochote
Sasa watapataje job bila kujishughulisha au kupambana kwa namna yoyote?

Ukishawafungulia akaunti ya Ajira Portal,
Na ajira za Utumishi itabidi uwe unawaombea?
Hata ukiwaombea, wakiwa shortlisted, wakati wa intavyuu itabidi wakapambane wenyewe, hapo hauwezi kuwa na msaada. Hivyo waache kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom