Ajira tatizo sana Mungu amsaidieHabari wakuu,nina mdogo wangu wakike ambaye ana shahada ya HR miaka 26 ,naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za mahoteli na kuuza mafuta (sheli) ,kwasasa yupo tuu nyumbani naona anakata tama,atayeguswa naomba nimtumie mawasiliano pm.
Watapata kazi wasikate tamaa, mashirika mengi ya serikali km tra yataajiri watu wengi hasa wahasibu watapata kazi..Me pia nina wadogo zangu wawili wa kike yani wamekata tamaa kabisa! Sujui nawasaidia vipi?
Wamesoma accountant na Hotel operations
Unachaji gharama kiasi gani? Weka wazi nasi tukivutiwa tujongeeMkuu pole sana.
Sina kazi ninayoweza kumuunganisha nayo Ila nina ujuzi wa digital marketing ambao unaweza kumsaidia kuonyesha uwezo wake mtandaoni au kujiajiri kabisa kama digital marketing manager upande wa Websites au Social media.
Kama atakuwa na moyo wa kujifunza PM iko wazi, nipo Dar.
Sitamfundisha bure pia, atachangia gharama kidogo kutegemeana na kipengele ambacho kitamfaa yeye.
Maisha Sikuhizi yameamia mtandaoni, mtaani tunakutana tu.
Gharama ni kuanzia 20,000 hadi 150,000 kutegemeana na utakachohitaji kujifunza.Unachaji gharama kiasi gani? Weka wazi nasi tukivutiwa tujongee
Wamesoma accountant
kujifunza online au kuna darasa kabisaGharama ni kuanzia 20,000 hadi 150,000 kutegemeana na utakachohitaji kujifunza.
Karibu PM kama utakuwa na maswali binafsi.
Kama Upo Dar itakuwa poa zaidi maana tutaonana live na kujifunza kwa vitendo kila Kitu.kujifunza online au kuna darasa kabisa
Kwani hawawezi kuolewa?Me pia nina wadogo zangu wawili wa kike yani wamekata tamaa kabisa! Sujui nawasaidia vipi?
Wamesoma accountant na Hotel operations
mkuu vp hizo hadi wanaume wanachukuliwaUshauri aende cafteria udom atapata kibarua cha kuuza msosi
Hawajawahi mkuu,ndo nipo napambana wawe na account huko.Kiufupi ni wamekata tamaa kiasi kwamba hawajishughulishi kwa kitu chochoteHawajawahi kujaribu kwa wakandaji(PSRS)?