balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
wacha nijarib.na mm kupanga changu
1.aveva
2.kaburi
3.chuchu Hans pope
4.manara mzungu wa Randale
5.mkunde
6.
7.
8.
9.
10.mafugo
11.okwi the govinda
Simba hatari, mara kampa yanga sita, mara tano, mara nne!
Yaani simba kila kizazi inahakikisha kinaonyeshwa LAIVU jinsi ya kumchinja yanga zile za mauaji ya halaiki!
Mimi nimeshuhudia Yanga kala tano kweupeeee, mjomba wangu kashujudia Yanga kala sita kweupeeee!!
ni shiiider!!
Wewe unaongea ya Stand iliyobebwa kwa beleko!!
Hapo kwa Okwi kwan analo bado? waganda huwa hawalitoi eti
mbona sioni mchezaji hapo,bora hats like ligolikipa la Uganda life Abel Dhaira,MTU amfundishe Christiano Ronaldo kufunga magoli halafu aje kucheza Leo,maajabu ya wazee Wa chapati na kurecycle mnatsha
Hapo kwenye 4 Yanga inawahusu sana, wanamjua vizuri sana Mgosi.Mkuu sub watakuwepo,
1. manyika jr.
2. "fundi" awadh juma
3. ibrahimu ajibu a.k.a mzee wa ma hat-trick
4. musa hassan mgos a.k.a kiboko ya mabeki wa timu za dar
5. "mwili jumba" elias maguli
Wahaya Na Wahehe Huwa Wanayatoa Pia " MAGOVINDA " Yao? Unakimbilia Mbali Nchini Uganda Kuwasema Akina Okwi Na Kiiza Kuwa Ni " Magovi " Huku Ndugu Zako Hapa Hapa Nyumbani Hayo Makabila Mawili Tajwa Hapo Juu Wanaume Wao Huwa Hawatairi Labda Hawa Wajanja Tulionao Humu Mijini.
watanzania wrote wanatoa bana,mkuu acha hzo.
Mkuu katika Quite yangu hapo nimemtaja Ronaldo>?
Mbona unakurupuka mkuu?
Mafuriko yamekusomba nini?
mkuu quite yko tena ndiyo kitu gan?
Hapo kwenye 4 Yanga inawahusu sana, wanamjua vizuri sana Mgosi.
1. Ivo Mapunda.
2. Ramadhan Kessy.
3. Mohamed Hussein " Tshabalala ".
4. Hassan Isihaka.
5. Juuko Murshid.
6. Hassan Banda.
7. Said Ndemla.
8. Peter Mulyanzi.
9. Hamis Kiiza.
10. Laudit Mavugo.
11. Emanuel Okwi.
Naombeni Msaada Kama Kuna Mtu Anaweza Akakibadilisha au Tu Akabashiri Kwa Kikosi Hicho Unadhani Kikikutana Na " Wazee Wa Mafuriko " Safari Hii Watakoga Ngapi? Hivi Kwa Kikosi Hicho Kweli Simba Sports Club Haiwezi Kuwa Bingwa Ndani Ya Raundi Ya Kwanza Tu Ya Ligi Kuu Ya Vodacom Na Raundi Ya Pili Tukaishia Kuchezesha Vijana Wa Timu B Yetu?
Nawasilisha.
Nakuongezea benchi umemsahau kiongera
1. Ivo Mapunda.
2. Ramadhan Kessy.
3. Mohamed Hussein " Tshabalala ".
4. Hassan Isihaka.
5. Juuko Murshid.
6. Hassan Banda.
7. Said Ndemla.
8. Peter Mulyanzi.
9. Hamis Kiiza.
10. Laudit Mavugo.
11. Emanuel Okwi.
Naombeni Msaada Kama Kuna Mtu Anaweza Akakibadilisha au Tu Akabashiri Kwa Kikosi Hicho Unadhani Kikikutana Na " Wazee Wa Mafuriko " Safari Hii Watakoga Ngapi? Hivi Kwa Kikosi Hicho Kweli Simba Sports Club Haiwezi Kuwa Bingwa Ndani Ya Raundi Ya Kwanza Tu Ya Ligi Kuu Ya Vodacom Na Raundi Ya Pili Tukaishia Kuchezesha Vijana Wa Timu B Yetu?
Nawasilisha.
Tusiende mbali sana,huyo kocha wenu kutoka Uingereza atadumu ndani ya miezi 2?hayo mengine tuachane nayo kwanza maana sijasahau mlivyokuwa mkitusumbua na akina Kiongera,Sserenkuruma wenu msimu uliopita!
Huyo Tumeshamtema Mkuu au Hujui? au Wewe Siyo Simba Mwenzetu Nini? ( Kidding ) Tu Usijali. Kiongera Bado Hajawa Fit ILA Tunataka Kuwapa " Wazee Wa Mafuriko " Kwa Mkopo Ili Awasaidie Katika Mechi Yao Dhidi Ya Gor Mahia Tarehe 18 July 2015 Taifa.