Nisaidieni kupanga kikosi cha Simba

Nisaidieni kupanga kikosi cha Simba

wacha nijarib.na mm kupanga changu
1.aveva
2.kaburi
3.chuchu Hans pope
4.manara mzungu wa Randale
5.mkunde
6.
7.
8.
9.
10.mafugo
11.okwi the govinda

Hapo kwa Okwi kwan analo bado? waganda huwa hawalitoi eti
 
Simba hatari, mara kampa yanga sita, mara tano, mara nne!
Yaani simba kila kizazi inahakikisha kinaonyeshwa LAIVU jinsi ya kumchinja yanga zile za mauaji ya halaiki!
Mimi nimeshuhudia Yanga kala tano kweupeeee, mjomba wangu kashujudia Yanga kala sita kweupeeee!!
ni shiiider!!
Wewe unaongea ya Stand iliyobebwa kwa beleko!!

Simba imechukua makombe matatu Mwaka Jana,
 
Hapo kwa Okwi kwan analo bado? waganda huwa hawalitoi eti

Wahaya Na Wahehe Huwa Wanayatoa Pia " MAGOVINDA " Yao? Unakimbilia Mbali Nchini Uganda Kuwasema Akina Okwi Na Kiiza Kuwa Ni " Magovi " Huku Ndugu Zako Hapa Hapa Nyumbani Hayo Makabila Mawili Tajwa Hapo Juu Wanaume Wao Huwa Hawatairi Labda Hawa Wajanja Tulionao Humu Mijini.
 
Mkuu sub watakuwepo,
1. manyika jr.
2. "fundi" awadh juma
3. ibrahimu ajibu a.k.a mzee wa ma hat-trick
4. musa hassan mgos a.k.a kiboko ya mabeki wa timu za dar
5. "mwili jumba" elias maguli
 
mbona sioni mchezaji hapo,bora hats like ligolikipa la Uganda life Abel Dhaira,MTU amfundishe Christiano Ronaldo kufunga magoli halafu aje kucheza Leo,maajabu ya wazee Wa chapati na kurecycle mnatsha

Mkuu katika Quite yangu hapo nimemtaja Ronaldo>?

Mbona unakurupuka mkuu?

Mafuriko yamekusomba nini?
 
Mkuu sub watakuwepo,
1. manyika jr.
2. "fundi" awadh juma
3. ibrahimu ajibu a.k.a mzee wa ma hat-trick
4. musa hassan mgos a.k.a kiboko ya mabeki wa timu za dar
5. "mwili jumba" elias maguli
Hapo kwenye 4 Yanga inawahusu sana, wanamjua vizuri sana Mgosi.
 
Wahaya Na Wahehe Huwa Wanayatoa Pia " MAGOVINDA " Yao? Unakimbilia Mbali Nchini Uganda Kuwasema Akina Okwi Na Kiiza Kuwa Ni " Magovi " Huku Ndugu Zako Hapa Hapa Nyumbani Hayo Makabila Mawili Tajwa Hapo Juu Wanaume Wao Huwa Hawatairi Labda Hawa Wajanja Tulionao Humu Mijini.

watanzania wote wanatoa bana,mkuu acha hzo.
 
1. Ivo Mapunda.
2. Ramadhan Kessy.
3. Mohamed Hussein " Tshabalala ".
4. Hassan Isihaka.
5. Juuko Murshid.
6. Hassan Banda.
7. Said Ndemla.
8. Peter Mulyanzi.
9. Hamis Kiiza.
10. Laudit Mavugo.
11. Emanuel Okwi.

Naombeni Msaada Kama Kuna Mtu Anaweza Akakibadilisha au Tu Akabashiri Kwa Kikosi Hicho Unadhani Kikikutana Na " Wazee Wa Mafuriko " Safari Hii Watakoga Ngapi? Hivi Kwa Kikosi Hicho Kweli Simba Sports Club Haiwezi Kuwa Bingwa Ndani Ya Raundi Ya Kwanza Tu Ya Ligi Kuu Ya Vodacom Na Raundi Ya Pili Tukaishia Kuchezesha Vijana Wa Timu B Yetu?

Nawasilisha.

Nakuongezea benchi umemsahau kiongera
 
Nakuongezea benchi umemsahau kiongera

Huyo Tumeshamtema Mkuu au Hujui? au Wewe Siyo Simba Mwenzetu Nini? ( Kidding ) Tu Usijali. Kiongera Bado Hajawa Fit ILA Tunataka Kuwapa " Wazee Wa Mafuriko " Kwa Mkopo Ili Awasaidie Katika Mechi Yao Dhidi Ya Gor Mahia Tarehe 18 July 2015 Taifa.
 
1. Ivo Mapunda.
2. Ramadhan Kessy.
3. Mohamed Hussein " Tshabalala ".
4. Hassan Isihaka.
5. Juuko Murshid.
6. Hassan Banda.
7. Said Ndemla.
8. Peter Mulyanzi.
9. Hamis Kiiza.
10. Laudit Mavugo.
11. Emanuel Okwi.

Naombeni Msaada Kama Kuna Mtu Anaweza Akakibadilisha au Tu Akabashiri Kwa Kikosi Hicho Unadhani Kikikutana Na " Wazee Wa Mafuriko " Safari Hii Watakoga Ngapi? Hivi Kwa Kikosi Hicho Kweli Simba Sports Club Haiwezi Kuwa Bingwa Ndani Ya Raundi Ya Kwanza Tu Ya Ligi Kuu Ya Vodacom Na Raundi Ya Pili Tukaishia Kuchezesha Vijana Wa Timu B Yetu?

Nawasilisha.

Tusiende mbali sana,huyo kocha wenu kutoka Uingereza atadumu ndani ya miezi 2?hayo mengine tuachane nayo kwanza maana sijasahau mlivyokuwa mkitusumbua na akina Kiongera,Sserenkuruma wenu msimu uliopita!
 
Kwa hilo kosi alilopanga Mkuu GENTAMYCINE hapo juu, hata wewe tukikukabidhi timu kila mechi utakua unatoka na ushindi usiopungua goli 3.. Sasa imagine "Mtalamu" Kerr mwenye leseni ya juu kabisa ya ukocha duniani, ambapo yupo daraja 1 na kina Mourinho, Jurgen Klopp, Masimiliano Aregri, Bielsa, n.k anakamata hilo likikosi la maangamizi, si tutakua tunashinda goli si chini ya 8?!
Na Agosti Ifike Haraka.
 
Last edited by a moderator:
Huyo Tumeshamtema Mkuu au Hujui? au Wewe Siyo Simba Mwenzetu Nini? ( Kidding ) Tu Usijali. Kiongera Bado Hajawa Fit ILA Tunataka Kuwapa " Wazee Wa Mafuriko " Kwa Mkopo Ili Awasaidie Katika Mechi Yao Dhidi Ya Gor Mahia Tarehe 18 July 2015 Taifa.

Me simba wa kugalagala kabisa,kiongera bonge la player ok sio mbaya......simba bado 8 hatuna mkuu au umeshasajili always naangalia mapungufu yetu.....t
 
Back
Top Bottom