Nisaidieni kupata fundi wa jenereta....

Nisaidieni kupata fundi wa jenereta....

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
186
Jamani ndugu yangu anasaka mtaalamu wa jenereta akamtengenezee imsaidie kipindi hiki cha umeme wa mgao! Ni jenereta ndogo ya matumizi ya nyumbani tu, kama wamfahamu mtu au una contacts zake tafadhali ni-PM au nijibu kwenye post hii moja kwa moja...

Nawasilisha
 
piga cm no 0732200494 au 0656898431 utapata msaada
 
Back
Top Bottom