Nisaidieni kuziondoa hasira za mdogo wangu/dada yangu...

Mfano; Kuna siku aligombana na baba mtoto wake na akamtukana huyo mwanaume kuwa ni "Mkund__ na ukoo wake ni ukoo wa mashoga, hivyo anajutaa kuzaa na mashoga..!!". Siku hiyo alimtukana sanaa baba mtoto wake kwenye simu.
Maneno hugeuka dua, na dua hutengeneza roho. Huyu dada hana akili na ni mpuuzi, achana naye, maana anamtakia mtoto wake aingiliwe na roho ya kufanya mapenzi ya jinsia moja. Maana tabia hutembea kwenye vizazi na vizazi.
 
Huyu anapepo, namna ya kumsaidia Ni maombi tuu, pia na mtu ameumizwa sana, asipopata msaada hashindwi kuwaumiza watu wengine.
 
Wewe si unasemaga watu wasioe wala kuolewa mbona umeongea na shemejio ili msolve ili your psycho sister aolewe na unajua kabisaa she is unfit for marriage.

Mshauri dada asiolewe au kuingia ktk ndoa adili na matatizo yake ya akili kwanza unaweza kuokoa kitu fulani.
 
Cha kwanza anaichukia hiyo hali ya kuwa single Maza.Anatakiwa hiyo hali ai accept then maisha ya endelee .
 
Kweli mkuu , kibaya zaidi asipoukubali huo udhaifu maana wengine ni wabishi anasema yeye ndo alivyo !! Hata ukitaka kutafuta suluhisho ni ngumu !!!
 
Sio hasira, ni kiburi!
 
Ana majini yanamsumbua na pengine hayataki awe na mahusiano thabiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…