nisaidieni kwa hili.

nisaidieni kwa hili.

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Jamani kama unataka ku- MP mtu unafanyaje? au kuna ulazima wa namna ya kujisajili? naomba msaada kwani kila nikijaribu nashindwa.
 
Mkuu samahani kwa kuchelewa kuku reply. Natumia Computer Lapotop.

mkuu kwanza PM ni kifupi cha neno Private Message,
:focus:
ukitaka kuPM user mkono wa kushoto kwenye jina lake uki click kutatokea some options chagua Private Message kisha itaopen page ambapo utahaza subject na body,
unaweza jaribu kuniPM
 
Back
Top Bottom