angefanikiwa kusoma hapa ila ngoja nikopi nimfowadie kama txtyaan nafikiri hata kuachana nae
Wewe unafikiri ufanyeje?
Pokea Simu, mwambie nakupenda ila niko busy.
Tengeneza template SMS uwe unazituma every other hour!
Aisee........au awe ana-edit anazotumiwa na nyumba ndogo na kumfowadia.
Duh,
Hiyo ni risk lkn; na kwa ubusy wake akijisahau si msala unakuwa mkubwa?
nipo naye kwenye uhusiono yapata mienzi sita.kiukwel nampenda tena sana na nina malengo nae mazur tu ya kuwa mume na mke.tatizo ambalo linanikera ni wivu wake.kwa siku hunipigia simu zaidi ya mara kumi nikimwambia niko bize na kazi anasema simjali b'coz ninae mwingine kiukweli siyapati mapenzi yake kwan haipiti siku bila kutofautiana nae.yaan nafikiri hata kuachana nae ila moyo ndo una ni suta kwan nampenda.NISAIDIENI NIFANYE NINI ILI NIENDANE NAE