sha classic
Member
- Feb 11, 2017
- 22
- 44
Kwanza uelewe haya:Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka je hiyo ni dalili ya nini naombeni mnisaidie
Tumbo linamuuma sana tofauti na blead zote alizowahi kupitiaKwanza uelewe haya:
1.Mimba hutungwa around siku ya 14 tangu hedhi iliyopita
2.Hedhi nayo hutoka around 14 baada ya ule wakati ambao ni mwafaka mimba kutungwa yaani siku ya 14
3.Pia mimba inaweza kutungwa na ikaharibika around siku za hedhi tarajiwa kama mimba isingetungwa ila mara nyingi sana haingunduliki maana inatoka kama hedhi ya kawaida
4.Mimba ya wiki mbili haiwezi kuwa na nyama nyama ila inaweza kuwa tu damu kidogo kambe bonge ila si rahisi hata kugundua mwanamke
Nionavyo mimi,pengine kuna shida ya hedhi inayosababisha damu kuganda ambayo imejotokeza tu by coinsidence
Ushauri kapime mimba na pia je mkeo huwa hasikii maumivu wakati wa hedhi?
Mpe pole mke wetu
Mkuu, kiuhalisia ili mimba itungwe sio lazima uone shahawa zimeingia ndani ya uke, unaweza ukafanya mapenzi meanamke akiwa juu ya mwanaume na mimba ikatungwa. Hivyo hiyo Hali ya seamens kutoka ni kawaida. Hapo Kuna tatizo jingine linalosababisha mimba isitungwe. Pia inaweza ni tatizo la kisaikolojia piaDoctors naomba kuuliza...
Ni tatizo gani linalosababisha shahawa (mbegu) za mwanamme kurudi nje badala ya kwenda ndani ukeni?
Maana kwa hali hii ni ngumu kupata mimba!
Wamejaribu style tofauti nyingi tu lakini shahawa zote zina rudi nje taratiiibu...na kumwagika zikiwa za moto kabisa!
Naomba msaada wenu!
Unaishi wapi?Doctors naomba kuuliza...
Ni tatizo gani linalosababisha shahawa (mbegu) za mwanamme kurudi nje badala ya kwenda ndani ukeni?
Maana kwa hali hii ni ngumu kupata mimba!
Wamejaribu style tofauti nyingi tu lakini shahawa zote zina rudi nje taratiiibu...na kumwagika zikiwa za moto kabisa!
Naomba msaada wenu!
Kwa unatakiwa kufahamu hili,mwanamke hana shahawa,anatoa yai ambalo halitoki mbegu za kiume ndo hufuata kwenye mirija inayopokea yai hilo au hizo kama limetoka zaidi ya moja.Mwanamke hutoa ute mweupe mzito kidogo ndani ya mdomo wa ndani wa uke au wengi huita mashavu ambayo mara nyingi hutokea kwa aliyeandaliwa vyema au aliyefika kileleni na ute huwa kama kilainishi huwa unatoka nje au kutolewa na uume wakati wa kuingia na kutoka kwenye zoezi zima la binadamu kujamiiana.Doctors naomba kuuliza...
Ni tatizo gani linalosababisha shahawa (mbegu) za mwanamme kurudi nje badala ya kwenda ndani ukeni?
Maana kwa hali hii ni ngumu kupata mimba!
Wamejaribu style tofauti nyingi tu lakini shahawa zote zina rudi nje taratiiibu...na kumwagika zikiwa za moto kabisa!
Naomba msaada wenu!
Hapo umekosea,usitoe ushauri kwa kitu ambacho huna uhakika,mwenzio anahitaji ushauri sahihi,wakati mwingine kaa kimya kama huna uhakika,samahani lakiniKwanza kama anapata bleed zaidi ya week lazima anywe antibiotic kuzuia maambukizi. Mm sio daktari ila tu nimekulia hospitali maana mama yangu alikuwa na dipensary.
Miji ya pwaniUnaishi wapi?
Mkuu hapo kwenye saikolojia nna mashaka napo...maana mimba inatakiwa kwa hamu sana@!Mkuu, kiuhalisia ili mimba itungwe sio lazima uone shahawa zimeingia ndani ya uke, unaweza ukafanya mapenzi meanamke akiwa juu ya mwanaume na mimba ikatungwa. Hivyo hiyo Hali ya seamens kutoka ni kawaida. Hapo Kuna tatizo jingine linalosababisha mimba isitungwe. Pia inaweza ni tatizo la kisaikolojia pia
Tafuta supu ya pweza itakusaidia sana!Miji ya pwani