Kwanza uelewe haya:
1.Mimba hutungwa around siku ya 14 tangu hedhi iliyopita
2.Hedhi nayo hutoka around 14 baada ya ule wakati ambao ni mwafaka mimba kutungwa yaani siku ya 14
3.Pia mimba inaweza kutungwa na ikaharibika around siku za hedhi tarajiwa kama mimba isingetungwa ila mara nyingi sana haingunduliki maana inatoka kama hedhi ya kawaida
4.Mimba ya wiki mbili haiwezi kuwa na nyama nyama ila inaweza kuwa tu damu kidogo kambe bonge ila si rahisi hata kugundua mwanamke
Nionavyo mimi,pengine kuna shida ya hedhi inayosababisha damu kuganda ambayo imejotokeza tu by coinsidence
Ushauri kapime mimba na pia je mkeo huwa hasikii maumivu wakati wa hedhi?
Mpe pole mke wetu